Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie dizain zenu tunazielewaNi wakuda sana mzazi shobo nyingi
Badilisha tu ibaki Pancho boy uachane nao kiroho safi au kama huwez badilisha bas yeyote atakayekuja na shobo nyingi usimjibu chochote
Bora ungejiita Usembe kuliko "Baby boy"Hizi ni I'd fake tuu.. zinaficha mambo mengi!.. anyway santorini ni nini??..
na ubaby Boy wangu unahusiana nini na Mada????.. acheni shobodundo..
Mkuu kwahyo unataka kusema kuwa angeandika gay boy kabisa au??Bora ungejiita Usembe kuliko "Baby boy"
kwani we umeelewaje? halafu leo ndo mara ya kwanza naona post yako hpa JF hebu nikumbushe kama nimeshawahi kuku quote huko nyuma...
Wanaume wa Dar hao ahahhhahaaaaahaMtu anayejiita baby boy mara nyingi huwa namuangalia kwa utofauti sana
Kila nabii na zama zakeila jamaa sijui ana mkosi gani? Clouds wamejaribu kumpigia debe baada ya kasajiliwa fiesta lakini wapi,raia wamempotezea hata show yke ya moshi watu hakuna shangwe labda kidogo baada ya kuimba ngoma zake za WCB
ila jamaa sijui ana mkosi gani? Clouds wamejaribu kumpigia debe baada ya kasajiliwa fiesta lakini wapi,raia wamempotezea hata show yke ya moshi watu hakuna shangwe labda kidogo baada ya kuimba ngoma zake za WCB