Rich mavoko asema leo ndio siku yake ya mwisho ya maisha yake

Rich mavoko asema leo ndio siku yake ya mwisho ya maisha yake

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,572
Reaction score
2,286
Habari wanajamvi.....?

Nimepita kwenye page ya Instagram ya bwana mdogo rich mavoko nimekutana na ujumbe husiokua wa kawaida.......

Sijui nini kimemsibu huyu bwana mdogo, japo toka kajitoa WCB namuona kama hayupo sawa kabisa. Mliopo karibu jaribu kuwa karibu na huyu msanii inaonekana anasumbuliwa sana na msongo wa mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1046270

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku anajitoa WASAFI nilisema hilo ni kosa la maisha kwake lakini mshabiki wake wakatetea uamzi wake mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani anatafuta kiki huyu hajapatwa na sonona!
 
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani💘💘💘 roho yangu Maaama roho yangu Maama❤❤👄👄
Mmmmh....
 
Kiki nzuri kwa sasa ni kutangaza kutokewa na RUGE (R.I.P) ndotoni.

Usile Mbegu.
 
life is full of possibilities, as long as you are alive of course!
 
Yaan watu mshakariri kuwa siku ya mwisho kwenye maisha ya mtu basi ni kufa tu!.
Labda ana maanisha ni siku ya mwisho katika maisha yake kumtegemea mtu !!au siku ya mwisho katika maisha yake kuimba muziki???
 
DIAMOND MWACHIE MTOTO WA WATU KWA NINI UNAMTESA?UMECHUKUA NYOTA ZA WASANII WENGI BONGO NA KAMA SIO KUZIZIKA KABISA.
MAVOKO ALIKUJA VIZURI NYOTA YAKE UNAITUMIA ACHIA MBALI DARASA.
 
R.I.P to my self mademu nilio wagegeda ¤ wanafikia maelfu.
Pimbi sakubimbi msambwanda wa Wema ¤ Umenichizisha nimeugegeda kama gaidi Osama.
Salamu mpeni Kidoti wilayani kahama ¤ Nilimpenda kwa dhati nilimtambulisha kwa wangu mama.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom