Rich mavoko asema leo ndio siku yake ya mwisho ya maisha yake

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,572
Reaction score
2,286
Habari wanajamvi.....?

Nimepita kwenye page ya Instagram ya bwana mdogo rich mavoko nimekutana na ujumbe husiokua wa kawaida.......

Sijui nini kimemsibu huyu bwana mdogo, japo toka kajitoa WCB namuona kama hayupo sawa kabisa. Mliopo karibu jaribu kuwa karibu na huyu msanii inaonekana anasumbuliwa sana na msongo wa mawazo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku anajitoa WASAFI nilisema hilo ni kosa la maisha kwake lakini mshabiki wake wakatetea uamzi wake mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ni nyimbo ndio kaipa jina hilo utajuaje? Kama ile ngoma ya kamanda

Sent using unknown device
 
Nadhani anatafuta kiki huyu hajapatwa na sonona!
 
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndaniπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ roho yangu Maaama roho yangu Maamaβ€β€πŸ‘„πŸ‘„
Mmmmh....
 
Kiki nzuri kwa sasa ni kutangaza kutokewa na RUGE (R.I.P) ndotoni.

Usile Mbegu.
 
life is full of possibilities, as long as you are alive of course!
 
Yaan watu mshakariri kuwa siku ya mwisho kwenye maisha ya mtu basi ni kufa tu!.
Labda ana maanisha ni siku ya mwisho katika maisha yake kumtegemea mtu !!au siku ya mwisho katika maisha yake kuimba muziki???
 
Maisha yake yaliyobaki.... maana yake yapo
 
DIAMOND MWACHIE MTOTO WA WATU KWA NINI UNAMTESA?UMECHUKUA NYOTA ZA WASANII WENGI BONGO NA KAMA SIO KUZIZIKA KABISA.
MAVOKO ALIKUJA VIZURI NYOTA YAKE UNAITUMIA ACHIA MBALI DARASA.
 
R.I.P to my self mademu nilio wagegeda Β€ wanafikia maelfu.
Pimbi sakubimbi msambwanda wa Wema Β€ Umenichizisha nimeugegeda kama gaidi Osama.
Salamu mpeni Kidoti wilayani kahama Β€ Nilimpenda kwa dhati nilimtambulisha kwa wangu mama.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…