Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!11

Mniache niko kwenye Shaaban, najiandaa na Ramadhan. Tusi lolote utalo nitukana nakujibu kabisaa BABA YAKO MZAZI. Nchi huru hii sijakutumia invitation uje usome.


BACK TO TOPIC!

Hahahaaa Rich Mavokoooooooooo, rich weweeeeee mzeee wa MARRY ME, nikupeleke kwa Mama Richard kweli wa kukaa lebel moja na watoto wa jana kina Harmo ushuziii (Dogo nilikuwa namkubali huyuu ila alivonitokaaa kama mshipi.) na yule dogo Talentless kabisaa hata jina simjui. Hata wimbo wake mmoja siujui. KWELIIIIIIIIIIIIIIIII! Gerra out of here!

Rich ulikuwa unapambanishwa na Dimond enzi hizo na unampeleka peleka ipasavyo, namna gani mtoto wa mama Richard? Namna gani. Kabisaaaaaa umesign WCB. Duuu aiseeeeeeeeeee! Bora ungekufa na tai shingoni kama Blue Byser, Shetta Shettani, na Baraka Da Prince usiwe na management uwe tu huru.

Au bora ungeenda kusign kwa Petit man, mara laki tano maana yule meneja tu na sio msaniii kama domo. Tseeee tseeeee tseeeee RICHHHHHHH!!!!!!! MAVOKALIIIIIIII???????? Heeeeeeeeeeeeyyyyy Chinekeeeeeeeeeeeeeee! Mara 100 ungeenda kusign kwa Bob Junior. Umeona Ali Kiba alilost kabisaaaa kwa lile jibibi kijana ila kajizoaaa zoaaa si huyo karudiiii.

Anyway, Rich wewe ni wangu, mi nangoja hio 2 nd June nikuonee, nione na huko WCB huenda uka surpass my expectation which to be honest i dont have any. Sijuiiiiiiiiiiiiii kwa kweli. Nisiongee sana maana heshma kidogo niliobakiza kwako ni ya kazi zako za nyuma, mkubwa ulieleweka sanaa enzi hizo, wacha ningoje hio 2nd June.

Afu WCB mbona kama MMEPANIC HIV? Kila siku wimbooo, kila siku wimbooo. Huyo dogo talentless huo wimbo mlioachia juzi hata sijausikiza nasikia mnatoa tena wa Mavoko, mzazi mavoko sababi alisomeka kitambo hiko nitausikiliza, sijakaa vizuri nasikia Mzee wa Katapult kijana wa The Don himself, Don Jazzy, Koredo Bello sijui nimepatia maana kiukweli sijawahi kumuelwa mara mia angefanya collabo na baba Gigy Money Alihaji Techno, Nasikia Harmo ushuzi ndo anaachia nae kigoma, Hahahaaa! Na Paka wa kufugwa kaenda kufanya wimbo na vizee vilivochuja Psquare. Hahahaaaaa!

Niko hapa kutoa review zangu ila so far AJE umeleta noma sanaa huko WCB.
 
Samahani waungwana mnaoniheshimu ila nitampa neno dogo huyu binti anayejitoa ufahamu kwa muda.....

Lara ninakuhusudu sana na hasa kwa story zako ziniondoleazo stress lakini ukweli nitausema

Mchawi si lazma apae hivyo, "WEWE NI MCHAWI"
 
kwa hiyo shida yako ww ni ipi kwamba atakufa kisanii au tabu unayoipata ni kwa sababu ana sign mkataba chini ya label ya wasafi ndo unataka kumfananisha na hao madogo.... embu tulia think big
 
1. rich mavoko alikuwa anapambanishwa na diamond zamani.... je wako kwenye level moja sasa hivi?

2. Je Rich mavoko anafanya muziki ili ashindanishwe na diamond , harmonize, raymond au muziki wake ukue?

3. Kuna management inayozidi ubora management ya Wcb katika muziki wa bongo, kwa akili yako ya kimo cha zakayo unahisi kilichomfanya mavoko asiendelee kuwa kwenye chat ni kukosa management nzuri au hana kipaji.....?

kama hukujiuliza jambo lolote kati haya manne basi nashawishika kuamini una tatizo fulani kwenye kichwa.
 
Kweli mchawi MTU
Paka anatumwa tu...

Waakina birdman tu walimsajili busta rhymes..

Au hujui ROC nation, badboy zinasimamiwa na nan na zinawasajili waakina nan
 
Sioni ubaya kusign wasafi huwezi kujua target zake na swala la WASAFI kutoa nyimbo naona kawaida kwani baada ya mfungo kutakuwa na shoo nyingi. Ila ww unaona kitu cha ajabu sababu unasumbuliwa na UTIMU KICHWANI MWAKO,mbona huwasemi weusi ,juzi wametoa AROSTO ya GNAKO na sasa hivi wanajiandaa kutoa SWEETY MANGI vp hawa nao wamepanic?
 
Uchambuzi Yakinifu na Murua kabisa asipoelewa na hapa basi.
 
Tuko ktk dunia nyingine mambo ya kutoa nyimbo moja kwa mwaka yashapitiwa na wakati ndo maana wa nigeria wanatuzidi kwny rotation nyimbo kupigwa kwny vituo vya mtv n trace wao kwa mwaka wanaweza toa nyimbo zaidi ya 3 hadi 5 wakina olamide, phyno, wiz kid, davido wakianze kuachia nyimbo moja wanaachia sema davido tu ndo naona sony washanza kubana anabaki kusikika kwny collabo's tu na ndo kitu wanachofanya sauti sol nao wanatoa nyimbo jiwe baada ya jiwe
 
ahahaha,we lara1 watu wanasema wanakupendea story zako,so dondosha story,kama huna kausha maana sio kwa pumba hzi,inaonesha conflict of interest inakuzid uwezo kabisa,uko biased hata kipofu anakushinda kuona,sema anyway sio mbaya maana hzi ni kampeni za u-team tuu tena ulishajua kuwa umeandika mading'a ukatukana in advance .yani haya maushabiki mandazi ndo yanaoulemaza huu muziki.
 
Umeshindwa ya diamond na dili za matangazo vodacom kisa sijui anadhalilisha wanawake sijui aliwadhalilisha wap, ukasema itaenda mpaka kimataifa ...leo umekuja na hii ya mavoko hahahaha....

Dimond sikumshindwa, nilimnyoosha USHAMUONA KWENYE BANGO LOLOTE LA VODA? Embu pitia tena PRESS RELEASE MKATABA WAKE UNAISHA LINI NA LEO NI LINI? INTERNENT NEVER FORGETS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…