Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hata Kama,but nyimbo hizi sio nzuri na mimi ni team mavoko damu damu,ko ni lazima kama shabiki zake tumwambie ukweli akazane la sivyo akalime muheza korosho.Kifupi sio lazima kila mmoja apende nyimbo za Rich kama hujapenda unatulia tu au nyie ndo wale wastaafu mnaowashwa washwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na kusema Ronaldo angebaki Madrid.Ni mara mia ungeendelea kubaki wcb nilichokuona wewe unatamaa ya kutoboa haraka wakati ni mvivu umejiondoa nakuona una dalili za kupotea nyimbo zote mbili ulizotoa ni mbaya unaimba kama mlevi sijui
Hawa jamaa hawataki tusitoe ushauri hata kweny maisha ukiona unafanya kitu kibaya na watu hawakushauri ujue wanataka ushindwe ili wakucheke rich mavoko katoa nyimbo mbili happy na ndegele zote ni mbaya niwe mkweliHata Kama,but nyimbo hizi sio nzuri na mimi ni team mavoko damu damu,ko ni lazima kama shabiki zake tumwambie ukweli akazane la sivyo akalime muheza korosho.
wanaotumia maneno kama ko badala ya so, x kkwenye s wakati ni jinsia ya kiume wanatia mashaka unless ID yako ya kiume ila we mwanamke.Hata Kama,but nyimbo hizi sio nzuri na mimi ni team mavoko damu damu,ko ni lazima kama shabiki zake tumwambie ukweli akazane la sivyo akalime muheza korosho.
FactHawa jamaa hawataki tusitoe ushauri hata kweny maisha ukiona unafanya kitu kibaya na watu hawakushauri ujue wanataka ushindwe ili wakucheke rich mavoko katoa nyimbo mbili happy na ndegele zote ni mbaya niwe mkweli
Umelewa unajua matumizi ya ko na so katika sentensi?wanaotumia maneno kama ko badala ya so, x kkwenye s wakati ni jinsia ya kiume wanatia mashaka unless ID yako ya kiume ila we mwanamke.