Rich Mavoko ni bora ungebaki WCB

Rich Mavoko ni bora ungebaki WCB

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Ni mara mia ungeendelea kubaki wcb nilichokuona wewe unatamaa ya kutoboa haraka wakati ni mvivu umejiondoa nakuona una dalili za kupotea nyimbo zote mbili ulizotoa ni mbaya unaimba kama mlevi sijui
 
Ni mara mia ungeendelea kubaki wcb nilichokuona wewe unatamaa ya kutoboa haraka wakati ni mvivu umejiondoa nakuona una dalili za kupotea nyimbo zote mbili ulizotoa ni mbaya unaimba kama mlevi sijui
Ni sawa na kusema Ronaldo angebaki Madrid.
 
Hata Kama,but nyimbo hizi sio nzuri na mimi ni team mavoko damu damu,ko ni lazima kama shabiki zake tumwambie ukweli akazane la sivyo akalime muheza korosho.
Hawa jamaa hawataki tusitoe ushauri hata kweny maisha ukiona unafanya kitu kibaya na watu hawakushauri ujue wanataka ushindwe ili wakucheke rich mavoko katoa nyimbo mbili happy na ndegele zote ni mbaya niwe mkweli
 
Kumpangia mtu maisha wakati hujawahi hata kumuona physically, ni ujinga kama ujinga mwingine.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
WCB tulien huko khaaa mnamfata fata sana kijana keshasema hawataki
 
Hata Kama,but nyimbo hizi sio nzuri na mimi ni team mavoko damu damu,ko ni lazima kama shabiki zake tumwambie ukweli akazane la sivyo akalime muheza korosho.
wanaotumia maneno kama ko badala ya so, x kkwenye s wakati ni jinsia ya kiume wanatia mashaka unless ID yako ya kiume ila we mwanamke.
 
Mtu hujui alikuwa ananufaikaje na kwanini kaondoka mbali na hayo manufaa yote wewe ambae hata physically hujawahi kutana nae huelewi lolote unalalamika et kakosea sana hebu tufanye maisha yetu namalizia na kitanda usicho kilalia..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom