santa diaba
Member
- Dec 23, 2014
- 99
- 57
Kumbe maisha yakizidi kua mazuri atakua mzungu sasaaa
maisha gani mbona rugemalira mweusiiiii
Hahahahah umenichekesha mkuu
Eeh Mungu mbona WANAUME wanaisha?? Huyu anang'aa, hemedi simuelewi, nuh mziwanda ndo buree, nyoshi ni zaidi ya wema enzi zile, mlela nae mweh, ray ndo nafwaaa, hujakutana nao mtaani waliopaka carollight.. Lord have mercy
simba kapakatwa ni kauli tu,jaribu kwa vitendoWengi wao wenye stlye hii huishia simba kapakatwa
Kwa hiyo hawa wapuuzi ndo sample ya kugeneralize kuwa wanaume wameisha!!!!!
Get life!