Rich Mavoko: Sijajichubua, ninang'aa tu

Rich Mavoko: Sijajichubua, ninang'aa tu

Eeh Mungu mbona WANAUME wanaisha?? Huyu anang'aa, hemedi simuelewi, nuh mziwanda ndo buree, nyoshi ni zaidi ya wema enzi zile, mlela nae mweh, ray ndo nafwaaa, hujakutana nao mtaani waliopaka carollight.. Lord have mercy
 
Ni maisha yake, let him do whatever he wish to do. Akipata madhara hatakuja kutembeza bakuli
 
Nyoooo.....mbona Boban amenyoa dreads na bado hajang'aaaa......babaaa.....umenawa carolite babaaaa.....ni kamukologooo hako mwanawane, uliona prezidaa nyoshi anafaid nn....
 
Eeh Mungu mbona WANAUME wanaisha?? Huyu anang'aa, hemedi simuelewi, nuh mziwanda ndo buree, nyoshi ni zaidi ya wema enzi zile, mlela nae mweh, ray ndo nafwaaa, hujakutana nao mtaani waliopaka carollight.. Lord have mercy

Kwa hiyo hawa wapuuzi ndo sample ya kugeneralize kuwa wanaume wameisha!!!!!

Get life!
 
Mzee Mengi ana mtoto mkarrr na hela mpk nyingine kafungia store yake ya kule machame hang'ai huyu kanunua Mark X na kushuti wimbo na Godfather eti Kang'aaa daah.
 
Kuna tofauti ya editing bhana usitutie utaahira we unajichubua na inaonekana wazi.....unadhan sisi hatujui editing za iphone?
 
Back
Top Bottom