Huyu demu ana tabia moja mbaya sana ya matusi,kwavile anajiona ana account nyingi si chini ya 8 ukiifungia hii anatumia ile,lakini wajuzi wa mambo tunamtambua mtu hata akijiita kuku.
Au wewe ndio Mrs Mavoko nini?Isije kua tunabishana na mb.unye ya rich
Washeli haina grisi nini?Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB hamna nyimbo ya maana hata moja umeachia ukasikika
Sasa hivi umepotea na hatukusikii kabisaaa
Je swali linakuja huko WCB unafanya nyimbo nzuri kama hizi ambazo uliwahi kufanya ukiwa mwenyewe....nilikuwa napenda sanaa mziki wako na ulikuwa unajiamini sanaaa na unatoa video nzuri kama Jux ila huko umepotea kabisaaaa....
Kwa mafanikio yake kwa sasa ni gani?Alikuwa na mafanikio gani??? Shida ni pale unapotunga na kuimba vizuri alafu huna kitu mfukoni jamaa alishtuka mapema, watu wanaangalia maslahi saizi.
Kwa mafanikio yake kwa sasa ni gani?
DuhMavoko ata passo hana, anaishi kama digi digi, hana mbele wala nyuma, na siku hizi anavuta sana bangi huko tabata anapoish, in short anaaribikiwa
Twende taratibu, hapa unasema "huko tabata anapoishi"Mavoko ata passo hana, anaishi kama digi digi, hana mbele wala nyuma, na siku hizi anavuta sana bangi huko tabata anapoish, in short anaaribikiwa
Halafu unarudi kisengerenyuma unadai wewe ni jirani wa Mavoko Tabata hiyohiyo!!Mbwa wewe, mimi ni jirani wa mavoko hapa tabata, Mara nyingi anaendesha gari ya rayvanny ,sasa hilo gari kanunua wapi? Acha ushabiki wa kwenye mitandao mbwa w