Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

Huyu demu ana tabia moja mbaya sana ya matusi,kwavile anajiona ana account nyingi si chini ya 8 ukiifungia hii anatumia ile,lakini wajuzi wa mambo tunamtambua mtu hata akijiita kuku.

Heheh warumi ana muonea huruma jirani yake kupanda magari ya kina rayvanny boy kila siku[emoji23][emoji23]
 
Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB hamna nyimbo ya maana hata moja umeachia ukasikika

Sasa hivi umepotea na hatukusikii kabisaaa









Je swali linakuja huko WCB unafanya nyimbo nzuri kama hizi ambazo uliwahi kufanya ukiwa mwenyewe....nilikuwa napenda sanaa mziki wako na ulikuwa unajiamini sanaaa na unatoa video nzuri kama Jux ila huko umepotea kabisaaaa....

Washeli haina grisi nini?
 
Kubalini kataeni ila mleta uzi yupo sahihi kwa kiasi kikubwa,,sasa hiv hawez kama zaman,,zaman dogo alijua haswa,mashair,video na melodies lakn toka aje kwa mond naona kapotea kimtindo japo wanajitetea wanatafuta soko la kimataifa bt kwangu hana uwezo aliokolua nao,,namfananisha na gaucho limebaki jina tu
 
Alikuwa na mafanikio gani??? Shida ni pale unapotunga na kuimba vizuri alafu huna kitu mfukoni jamaa alishtuka mapema, watu wanaangalia maslahi saizi.
Kwa mafanikio yake kwa sasa ni gani?
 
Wasafi mlezi wenu Bashite anatumbuliwa mwisho wa mwezi....kupiga picha na kingpin Kinje itakula kwenu kamishina wamulike....
 
huyu watu walimshauri akaona wanamuonea wivu.

Yule jamaa kishaiba nyota yake.
 
Mavoko ata passo hana, anaishi kama digi digi, hana mbele wala nyuma, na siku hizi anavuta sana bangi huko tabata anapoish, in short anaaribikiwa
Twende taratibu, hapa unasema "huko tabata anapoishi"
Mbwa wewe, mimi ni jirani wa mavoko hapa tabata, Mara nyingi anaendesha gari ya rayvanny ,sasa hilo gari kanunua wapi? Acha ushabiki wa kwenye mitandao mbwa w
Halafu unarudi kisengerenyuma unadai wewe ni jirani wa Mavoko Tabata hiyohiyo!!
Haya mi napita tu.
 
Back
Top Bottom