Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

unajitetea huna timu ila uandishi wako tu unaonesha wazi una chuki na diamond...inamana nyimbo zote hizo alizotoa diamond tena hakuna mbayo haijahit, unataka kusema hujauona bado ufundi wa simba?you cant be serious man...yani katika uandishi wa mashairi katika wasanii wa kuimba hakuna anaemfikia diamond ambaye anaimba mpangilio na kufuata kanuni zote za uandishi na hata stori zake ni rahisi kueleweka na rika zote....itabdi u review nyimbo zote za diamond kuanzia Kamwambie mpaka hii ya Nikae kimya (ushabiki wa kisiasa weka pembeni ndo utamuelewa), kisha uje na majibu sahihi hapa.
 
Mm ningemuimba ajifunze kudansi.
Make naona huwa hajui na anasumbuka sn kujitikisa.

Pia arajibu kuwa anatoa wimbo wake peke yake huko huko WCB.
Au yy na Harmonize au yy na Diamond au yy na Raivanny
 
Checking...100%
Network searching...100%

Network connected !
Near by Rujewa Mbeya.
 
Msomeni mdau hapa alicho comment hili swala ndio tunaongelea humu ndani.....tunaongelea muziki hatuongelei maisha ya mtu binafsi....

Hayo mengine humu sio nafasi yake....
Kokoro kaiandika kabla ya kujiunga wcb ilikuwaga kama demo ndo akaja kuikamilisha baada ya kuingia wcb, ngoma naweza kusema ameiandika na kutoka labda hii show me aliyoimba na harmonize....ila ibaki story na kokoro kaziandika kitambo
 
Si kibakuli Yupo
 
wimbo mzuri wa mwisho kutoka kwa Mavoko ulikuwa pacha wangu zilizobaki zote kelele.
 
ila sa hz anapga shows nyng na amepata exposure kubw sn esp. abroad ndan y mda mfup
 
Acha uongo wewe usiongee vitu usivyovijua
Harmonize anaingiza pesa na tayari anamiliki magari

Kwa akili yako mavoko ashindwe kununua magali

Katika vitu WCB wanazingatia ni "branding"

Hata rayvanny ilibidi anunue gali
Yaani mkuu kwa comment hii umedhalilisha Id yako "brave one" you aren't the one at all. Kwahiyo wewe katika akili yako mtu kununua gari ndo kuwa na maisha mazuri , poor u
 
Yaani mkuu kwa comment hii umedhalilisha Id yako "brave one" you aren't the one at all. Kwahiyo wewe katika akili yako mtu kununua gari ndo kuwa na maisha mazuri , poor u
Hujui lolote kuhusu mziki kaa kimya,
Usifananishe maisha ya mtu kawaida na maisha ya msanii
Maana hujui hata thamani ya msanii inakuwaje
 
Mwenzenu anaitwa Baba Jaydan sasa, hongera kwake kwa kupata mtoto.
 
Hujui lolote kuhusu mziki kaa kimya,
Usifananishe maisha ya mtu kawaida na maisha ya msanii
Maana hujui hata thamani ya msanii inakuwaje
We ndo hujui maana umekalili msanii mpaka awe na magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…