chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,109
umeonaeeeYupo vizuri sana tena anaingiza mapato makubwa kulivyo alivyokuwa mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeonaeeeYupo vizuri sana tena anaingiza mapato makubwa kulivyo alivyokuwa mwenyewe
unajitetea huna timu ila uandishi wako tu unaonesha wazi una chuki na diamond...inamana nyimbo zote hizo alizotoa diamond tena hakuna mbayo haijahit, unataka kusema hujauona bado ufundi wa simba?you cant be serious man...yani katika uandishi wa mashairi katika wasanii wa kuimba hakuna anaemfikia diamond ambaye anaimba mpangilio na kufuata kanuni zote za uandishi na hata stori zake ni rahisi kueleweka na rika zote....itabdi u review nyimbo zote za diamond kuanzia Kamwambie mpaka hii ya Nikae kimya (ushabiki wa kisiasa weka pembeni ndo utamuelewa), kisha uje na majibu sahihi hapa.mi natoa mchango kulingana na hali halisi nyie wafia timu ndio kitu kinachowafanya msiseme hata kwenye ukweli,hivi katika waandishi Diamond anaandika? Sema ndio hivo mambo ya riziki tuu ila Mavoco anauandishi kuliko hata platinumz,mi siongei ki timu sina timu yoyote mkuu naongea nnachokijua
Mkuu AliKiba yuko Los Angeles moja ya miji kwenye USA TOUR.
Checking...100%Swali moja tu, kipato anachopata sasa na kabla ni sawa??? Kama anachoingiza saizi ni kikubwa, kwake sidhani kama anajali hayo ulioyaandika wewe , kwasababu wasanii wetu wanachoangalia ni nini kimeingia mfukoni hata kama akiimba mapambio kama yanamwingizia pesa ts fine.
Watu hubadilika kulingana na soko linataka nini ,usikariri.
Kokoro kaiandika kabla ya kujiunga wcb ilikuwaga kama demo ndo akaja kuikamilisha baada ya kuingia wcb, ngoma naweza kusema ameiandika na kutoka labda hii show me aliyoimba na harmonize....ila ibaki story na kokoro kaziandika kitamboMsomeni mdau hapa alicho comment hili swala ndio tunaongelea humu ndani.....tunaongelea muziki hatuongelei maisha ya mtu binafsi....
Hayo mengine humu sio nafasi yake....
Si kibakuli YupoRich anasauti tamu sana na alikua tishio kubwa kwa diamond, domo ikabidi ajifanye anamuweka kwa label yake ili amdhibiti kutoa music na kazi zake zote, in short alijidhalilisha, sasa kila mtu akiingia wasafi music utakosa ushindani na radha, voko kabugi
Unaongelea American chips?Diamond huyu huyu mwenye ndoto za kuipeleka bongo fleva America ndo anyimwe usingizi na Rich Mavoko?
So unakuja na usichojua ili iweje? Soma uzi vzr urudi tena hapaMimi siyajui na sitaki kuyajua lakini siamini kama atakuwa yupo kama alivyokuwa zamani
Yaani mkuu kwa comment hii umedhalilisha Id yako "brave one" you aren't the one at all. Kwahiyo wewe katika akili yako mtu kununua gari ndo kuwa na maisha mazuri , poor uAcha uongo wewe usiongee vitu usivyovijua
Harmonize anaingiza pesa na tayari anamiliki magari
Kwa akili yako mavoko ashindwe kununua magali
Katika vitu WCB wanazingatia ni "branding"
Hata rayvanny ilibidi anunue gali
Hujui lolote kuhusu mziki kaa kimya,Yaani mkuu kwa comment hii umedhalilisha Id yako "brave one" you aren't the one at all. Kwahiyo wewe katika akili yako mtu kununua gari ndo kuwa na maisha mazuri , poor u
We ndo hujui maana umekalili msanii mpaka awe na magariHujui lolote kuhusu mziki kaa kimya,
Usifananishe maisha ya mtu kawaida na maisha ya msanii
Maana hujui hata thamani ya msanii inakuwaje
Mkuu huyo ni rayvanny na mada inamzungumzia rich mavokoMwenzenu anaitwa Baba Jaydan sasa, hongera kwake kwa kupata mtoto.
Kaa na ujinga wakoWe ndo hujui maana umekalili msanii mpaka awe na magari