Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Unafiki wa Wabongo... Rich mlishaanza mpotezea... WCB wakaona thamani yake...wakamchukua.
Leo mnaanza jamba hapa.
Wabongo utatuweza sisi, kwetu kila kitu ni kibaya tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafiki wa Wabongo... Rich mlishaanza mpotezea... WCB wakaona thamani yake...wakamchukua.
Leo mnaanza jamba hapa.
Wajinga sana watu hawa...Wabongo utatuweza sisi, kwetu kila kitu ni kibaya tu.
Leta mamboMavoko ata passo hana, anaishi kama digi digi, hana mbele wala nyuma, na siku hizi anavuta sana bangi huko tabata anapoish, in short anaaribikiwa
Wivu utakuua mwanamke!!!Rich anasauti tamu sana na alikua tishio kubwa kwa diamond, domo ikabidi ajifanye anamuweka kwa label yake ili amdhibiti kutoa music na kazi zake zote, in short alijidhalilisha, sasa kila mtu akiingia wasafi music utakosa ushindani na radha, voko kabugi
Kwanza nyimbo nyingine za Timbulo nazo kampa Rich, si bure ana lake huyu.Ibaki stori hujaisikia nn mkuu/? Na kokoro je ni mbaya ? Sio bure ww[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] utakua na wivu tu
Hivi kibakuli keshamaliza world tour yake ???
Ukisikiliza kokoro na show me utagundua Mavoko amepoteza uwezo wake wa kuandika kabisa inawezekana ana malengo na soko la nje pia ila ni kweli Mavoko hana tena mashairi murua hata uimbaji pia.
Ukisikiliza kokoro na show me utagundua Mavoko amepoteza uwezo wake wa kuandika kabisa inawezekana ana malengo na soko la nje pia ila ni kweli Mavoko hana tena mashairi murua hata uimbaji pia.
Papizo, Rich ni mzuri sana useme alikosa menejimenti ya kumfowadi. Soko limezidi kuwa gumu. Linataka uwezo/kipaji, brand, lebo nzuri na nguvu ya pesa.
Kiba pia alishaanza kupotea ila naona kuna nguvu ya ziada ilimtoa pangoni sasa kila kona KING anaongelewa naye anasaini wanamziki.
Mavoko amefanya busara kuhamia hiyo lebo japo naamini angeenda kwa KIBA angeimba ule mziki wake tunaoujua. Ni kama vile jinsi Nuh ambavyo mziki wake umekua mtamu vilevile. Mfn. Jike shupa.
Muhimu Mavoko aweke malengo asilowee huko. Akishapata brand na uzoefu ajitoe mapema aanzishe lebo. Tunahitaji ushindani zaidi ili mziki wetu uzidi kukua.