Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

Diamond huyu huyu mwenye ndoto za kuipeleka bongo fleva America ndo anyimwe usingizi na Rich Mavoko?
Ndicho kinachompa Diamond umaarufu,nia yake ya ku search mashabiki kimataifa,sasa tofautisha kujulikana na uandishi,yule leo hata aimbe ngonjera mtamshabikia tuu tofauti na mavocco ambaye ana uandishi mzuri ila brand ndio shida,na yeye alijua akienda kwa Diamond atabebwa na brand,matokeo ndo amepotea kabisa
 
Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB hamna nyimbo ya maana hata moja umeachia ukasikika

Sasa hivi umepotea na hatukusikii kabisaaa

Je swali linakuja huko WCB unafanya nyimbo nzuri kama hizi ambazo uliwahi kufanya ukiwa mwenyewe....nilikuwa napenda sanaa mziki wako na ulikuwa unajiamini sanaaa na unatoa video nzuri kama Jux ila huko umepotea kabisaaaa....

N.B wakuu hii mada siongelei maslahi ya mtu binafsi wala sijaongelea nini amepata au nini amefata WCB hii mada naongelea mziki wake yeye kama yeye kwa jinsi alivyokuwa anaimba so naombeni kama mnataka ku discuss WCB anapata kiasi gani hiyo ni mada nyingine inabidi ifunguliwe tuongee hayo....tuwe wepesi kuelewa mtu akiandika na sio kukurupuka tu....

We unamjua sana mavoko?
hebu acha uchawi kwanza au sio bure umerogwa wewe
 
Ndicho kinachompa Diamond umaarufu,nia yake ya ku search mashabiki kimataifa,sasa tofautisha kujulikana na uandishi,yule leo hata aimbe ngonjera mtamshabikia tuu tofauti na mavocco ambaye ana uandishi mzuri ila brand ndio shida,na yeye alijua akienda kwa Diamond atabebwa na brand,matokeo ndo amepotea kabisa
Hiv mtu aliyepotea unaweza ukamwanzishia uzi.....mbona show me ni moja ya ngoma zilizo na airtime ya kutosha kwa mda huu au huko kupotea kukoje......
 
Back
Top Bottom