Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavoko mbaka leo unaamini ili ufanikiwe lazima uroge?kumbe kichwani humo hamna kitu bigazi kabiaMavoko amefunguka hayo akiteta na B dozen.View attachment 1124880
Mimi kana Diamond Platnumz, napinga hayo madai ya Bwana Rich Mavoko kuwa si ya kweli. Hivo watu muyapuuze.
Asubiri backlash [emoji3]Duh! Mzee baba unauza ramani ya vita??
Kwa kifupi Mziki wa Tanzania bila ndumba hauendi. Kila msanii anaroga japo ni wachache sana wanaofanikiwa.Kuloga kwa diamond na aly kiba sio story kabisa.
Ni kama alivyokuwa akiloga Mr Nice tu. Sema alichokosa Mr nice ni usimamizi mzuri wa pesa zake tu
Husio = UsioClouds bwana sasa wanaanza tena ishu kama za Ruge....uchonganishi Wa kibihashara husio na Faida.
Umesikiliza/umetazam clip nzima?Mavoko amefunguka hayo akiteta na B dozen.View attachment 1124880