Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora aiseeehWakurupukaji. Wee mleta mada weka interview nzima. Mavoko kasema alienda kwa mganga kabla hajawa maarufu na pia hajaingia wcb
Mzazi akiwa na roho mbaya kuna uwezekano mkubwa watoto watarithi sifa yako.Clouds bwana sasa wanaanza tena ishu kama za Ruge....uchonganishi Wa kibihashara husio na Faida.
Ulozi, ujinga na Umaskini ni baba mmoja mama mmoja.75% ya Watz tunaroga sema purpose tu ndo tofauti... Sishangai
hajasema wcb kasema kabla ya hapo ,kaeleza yy aliingia wcb akiwa na jina na hakukuwa na star yeyete kidogo harmonise,anasema star alikuwa diamond ,na kaeleza vizuri hana bifu nao aliona mziki wake hauendani na waoManeno haya yakuchafuana yasije mpeleka jela anachafua brand kubwa kama hiyo labda wamchunie tu.