Rich Mavoko: WCB tulikuwa tunaroga!

Rich Mavoko: WCB tulikuwa tunaroga!

Naona wengi humu hawajaisikiliza clip wamecoment kutokana na Maneno ya mleta post,sikilizeni clip kwanza ndo mcoment....
 
Maneno haya yakuchafuana yasije mpeleka jela anachafua brand kubwa kama hiyo labda wamchunie tu.
hajasema wcb kasema kabla ya hapo ,kaeleza yy aliingia wcb akiwa na jina na hakukuwa na star yeyete kidogo harmonise,anasema star alikuwa diamond ,na kaeleza vizuri hana bifu nao aliona mziki wake hauendani na wao
 
Back
Top Bottom