Diamond Alishasema yy ni maji... Yaani kina Bdozen wamezuunguka Wanajifany hawatak kumuongelea diamond na WCB [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakin kuna angle wanafika Wanajikuta inawabid tu [emoji23][emoji23][emoji23].Mavoko amefunguka hayo akiteta na B dozen.View attachment 1124880
Kama huamini kuroga kaa hivyo hivyo muulize mo kama harogiMavoko mbaka leo unaamini ili ufanikiwe lazima uroge?kumbe kichwani humo hamna kitu bigazi kabia
Ni wivu tuMavoko amefunguka hayo akiteta na B dozen.View attachment 1124880
[emoji106]Anapoelekea atasema amelogwa ni swala la muda na mawazo kama hayo ukiyaweka kichwani jua basi la MAFANIKIO litakupita kwani hutoliona.
Wakurupukaji. Wee mleta mada weka interview nzima. Mavoko kasema alienda kwa mganga kabla hajawa maarufu na pia hajaingia wcb
...mkuu hapa umemaliza....75% ya Watz tunaroga sema purpose tu ndo tofauti... Sishangai
.....ha ha....asil.ya mwafrika75% ya Watz tunaroga sema purpose tu ndo tofauti... Sishangai
Hata shilawaduDiamond Alishasema yy ni maji... Yaani kina Bdozen wamezuunguka Wanajifany hawatak kumuongelea diamond na WCB [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakin kuna angle wanafika Wanajikuta inawabid tu [emoji23][emoji23][emoji23].