Rich Richard wa #BBA

Yupo Canada na mzungu wake.

Hii ni taarifa rasmi.

Hapo sawa, wabongo tunapenda kuangalia upande wa mabaya tu ya mtu, mazuri aa. Thanks for the assurance, I like the guy!
 
Mwiteni Dada ake Linda atakuwa anajuwa alipo msubahatushe
 
Dada yake alishaelezea humu humu jf kuwa yupo canada na familia yake
 
Ha ha ha...canada?? Alikua anaonekana mitaa ya MOSHI 1.5 year ago...sure!! Alkua poa kimaisha still
 
Kuna kipindi alikua moshi mitaa ya shanti town ananyoa saloon..sasa sijui saloon ilikua yake au alikua kaajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…