Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mara yuko Canada mara Zambia, nani mkweli?
Yupo Canada na mzungu wake.
Hii ni taarifa rasmi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara yuko Canada mara Zambia, nani mkweli?
Yupo Canada na mzungu wake.
Hii ni taarifa rasmi.
Duh, , kazi kwelikweli...
Kumbe machimbo yana gharama hivyo? Haya bwana...
Yuko kwa Mtogole hapa anauza chipsi
Mtoto mayai ya kisasa au kienyeji?
Nasikia yupo mirerani huko kachoka anapiga mizinga hatariii...
Wewe nawe wamsikiza yule kurubembe!
Kuna kipindi alikua moshi mitaa ya shanti town ananyoa saloon..sasa sijui saloon ilikua yake au alikua kaajiriwa.