KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Namkubali sana singo mtambalike
Aka mchepuko wa zamani wa rose ndauka
Unamkubali kushinda mimi mpwa...??
Inawezekana yan huyu bwana huyu yuko vizuri aisee
Haya bwana...ngoja na mimi nikomae nisimamishe ghorofa langu hata ka udongo charambe pengine utanikubali mpwa....
Haya bwana...ngoja na mimi nikomae nisimamishe ghorofa langu hata ka udongo charambe pengine utanikubali mpwa....
Asante kwa taarifa hizi nyeti mkuu.....Walishafanyana sana, sasa mwiz toka akakuba kaiba, ila rose alivyopat wajanja wa town akamwaga jamaa
Ndio nipo msituni natafuta miti nianze ujenzi......Fanya hima bana
Aiseeh!! Nimefurahi kusikia hii habari, ila jamaa nasikia yupo poa toka zamani ila sidhan hayo mafanikio yanatokana na filamu, maana hana kazi nyingi sana na kazi zake uwa hazifanyi sana vizur sokoni kama movies za JB,Odama,nisha, RJ company na wasanii wengine, so nadhan atakuwa na mishe nyingine anafanya
Huyu jamaa (Richie) hanaga kitu mwenye pesa ni mkewe....
Umofia Kwenu wana JF,
Habari zilizonifikia hapa minjingu ni kwamba msanii wa sinema za kibongo aliyetamba na movie ya swahiba,Rich mtambalike alias Rich Richie ameshusha mjengo wa ghorofa moja maeneo ya mbweni full walinzi masaa 24 pamoja na kununua Rav4 new model,aisee kumbe bongo movie inalipa kihasi hiki? Au mambo ya bwimbwi.com?
Huyu jamaa (Richie) hanaga kitu mwenye pesa ni mkewe....
"bwimbwi.com" ndo nini!?
Ray hajui kuigiza ila ni director mzur, ata kampuni yake ina ubora flani ivi tofaut na makampuni mengine, ila hapendwi na wengi, Ray anajisikia na yeye, hatakagi kabisa kuigiza movie za wasanii wenzie, ye na kampuni yake tu bhas, bora ata johar anaigizaga nje ya kampuni ila babu yule kwa kujifanya ye ndo bwana mkubwa wakat darasa la pili kama warumi tu
Sifa ni hela kama huna hela za kumlipa aje aigize kwako kiafuta nn