Rich Richie na Ghorofa la Mbweni

Rich Richie na Ghorofa la Mbweni

WATANZANIA tumekuwa watu wa ajabu sijapata kuona....sijui tunayachukuliaje mafanikio....
Yaani tumekuwa na chuki za ajabu kwa watu ambao wametuzidi kipato...yaani umaskini na ufukara umedumaza akili zetu hadi zimekuw a kama za mende....kudhani kinyesi ni chakula wakati ni uchafu....
Mafanikio hayaji kwa kupiga majungu kwenye mitandao ya kijamii au kwa kumchukia aliyefanikiwa bali kwa kujituma kazini kwako na kujifunza kwa waliofanikiwa.....chuki , majungu, fitna na husda kamwe havitatusaidia badala yake vitatufanya tuwe mashahidi wa wanaofanikiwa.....JITAMBUE....
 
Haya bwana...ngoja na mimi nikomae nisimamishe ghorofa langu hata ka udongo charambe pengine utanikubali mpwa....

Walishafanyana sana, sasa mwiz toka akakuba kaiba, ila rose alivyopat wajanja wa town akamwaga jamaa
 
Aiseeh!! Nimefurahi kusikia hii habari, ila jamaa nasikia yupo poa toka zamani ila sidhan hayo mafanikio yanatokana na filamu, maana hana kazi nyingi sana na kazi zake uwa hazifanyi sana vizur sokoni kama movies za JB,Odama,nisha, RJ company na wasanii wengine, so nadhan atakuwa na mishe nyingine anafanya

Huyu jamaa (Richie) hanaga kitu mwenye pesa ni mkewe....
 
Umofia Kwenu wana JF,
Habari zilizonifikia hapa minjingu ni kwamba msanii wa sinema za kibongo aliyetamba na movie ya swahiba,Rich mtambalike alias Rich Richie ameshusha mjengo wa ghorofa moja maeneo ya mbweni full walinzi masaa 24 pamoja na kununua Rav4 new model,aisee kumbe bongo movie inalipa kihasi hiki? Au mambo ya bwimbwi.com?

"bwimbwi.com" ndo nini!?
 
Inawezekana coz hawa jamaa wa "northzone" Chagas and Pares hata wakiuza karanga watajenga tu.
 
Huyu jamaa (Richie) hanaga kitu mwenye pesa ni mkewe....

Nakuaminia mkuu maana upo kwenye sector hiyo na unawajua vizuri hao mastar,ila na mwenyewe nilichoka kabisa, basi mkewe atakuwa na hela sana maana hilo ghorofa analokaa mbweni ni shida,nilitumiwa kwenye whatsapp.

Cc: shigongo.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe nimcheka ukweli ukweli warumi we kiboko kwa umbeaa eti hats mi nilitaka kushsngaaaaa heeee eti anaonekana anadharau na ule mdomo wake
 
Ray hajui kuigiza ila ni director mzur, ata kampuni yake ina ubora flani ivi tofaut na makampuni mengine, ila hapendwi na wengi, Ray anajisikia na yeye, hatakagi kabisa kuigiza movie za wasanii wenzie, ye na kampuni yake tu bhas, bora ata johar anaigizaga nje ya kampuni ila babu yule kwa kujifanya ye ndo bwana mkubwa wakat darasa la pili kama warumi tu

Sifa ni hela kama huna hela za kumlipa aje aigize kwako kiafuta nn
 
Sifa ni hela kama huna hela za kumlipa aje aigize kwako kiafuta nn

NI kujiona yeye ni bora kuliko wemgine tu, wala sio suala la pesa, jamaa hatakag ushirika na wenzie, ndio maana frank alisusa kucheza movie zake, maana anamtumia ila ye alimualika kweny movie zake anajifanya yupo busy, tabia mbaya sana, na ndio maana haendelei kama the late kanumba
 
Sasa movie aigize...Richie...Riyama.....JB.....Wema na Shamsa...lazima uipende
 
Back
Top Bottom