Pre GE2025 Richard Ligoha: Zamani nikiwa mjinga nilikuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, sasa nimehamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
"Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua mgombea wa Udiwani kata ya Mboliboli mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Safari yangu kuikataa CHADEMA ilianza tarehe 20 mwezi wa saba pale Mwembetogwa nikiwa pamoja na Mchungaji Msigwa".

Pia soma: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Hayo yamesemwa na Richard Joseph Ligoha aliyekuwa Kiongozi ndani ya CHADEMA ambapo kwa sasa ni Mwanachama wa CCM, aliyasema hayo alipopewa nafasi ya kuzungumza katika Baraza la Vijana UVCCM Iringa Vijijini likiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Iringa Vijijini, Eliah Kidavile.

Luka 12:2-4​

Neno: Bibilia Takatifu
2 “Hakuna jambo lililofunikwa ambalo halitafunuliwa au siri iliyofichwa ambayo haitajulikana.

3 Kwa hiyo, yote mliyosema gizani yatasikiwa mchana: na yote mliyonong’onezana mkiwa mmeji fungia chumbani, yatatangazwa hadharani.

4 “Nawambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, na halafu basi.
 
Kwa tulipofikia mtu yupo tayari "kufanywa chochote kile"
 
Usitukane ofisi ilokupa uzoefu hata siku moja
"Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani...
 
Ila Wabongo 🙌 hv ukiondoka mahali na kuhamia kwengine au ukigombana na mtu kuna umuhimu gani wa kumvunjia heshima huyo mtu.
 
CHADEMA wana haki ya kujipongeza kwa kupoteza mtu mjinga na CCM huenda wakahuzunika kupokea mtu mjinga ndani ya chama chao.
 
Aiseh sasa ndio nimeamini siasa ni kazi ngumu zaidi hapa duniani

Hivi unawezaje kudharau mahali ulipozaliwa au kukulia au kulelewa?

Au ndio ile wanayosema bora uzaliwe mbwa marekani kuliko kuzaliwa mtu nchi za kusini mwa jangwa la sahara?

Kuna walakini kwenye ufahamu wa mtu huyu!!
 
"Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua mgombea wa Udiwani kata ya Mboliboli mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Safari yangu kuikataa CHADEMA ilianza tarehe 20 mwezi wa saba pale Mwembetogwa nikiwa pamoja na Mchungaji Msigwa".

Pia soma: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Hayo yamesemwa na Richard Joseph Ligoha aliyekuwa Kiongozi ndani ya CHADEMA ambapo kwa sasa ni Mwanachama wa CCM, aliyasema hayo alipopewa nafasi ya kuzungumza katika Baraza la Vijana UVCCM Iringa Vijijini likiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Iringa Vijijini, Eliah Kidavile.

JamiiForums

Kuelekea 2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!​

"Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua mgombea wa Udiwani kata ya Mboliboli mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Safari yangu kuikataa CHADEMA ilianza tarehe 20 mwezi wa saba pale Mwembetogwa nikiwa pamoja na Mchungaji Msigwa".

Pia soma: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Hayo yamesemwa na Richard Joseph Ligoha aliyekuwa Kiongozi ndani ya CHADEMA ambapo kwa sasa ni Mwanachama wa CCM, aliyasema hayo alipopewa nafasi ya kuzungumza katika Baraza la Vijana UVCCM Iringa Vijijini likiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Iringa Vijijini, Eliah Kidavile.

Ccm imejaa mipumbavu
 
ni jambo la maana sana wajinga kuanza kujielewa na kujiengua wenye ndani ya kundi la wajinga lisilo jielewa kama huko alikokua....

ataanza kung"aa sasa hivi na atakua muerevu sasa 🐒
 
Afadhali alivyokuwa mjinga maana sasa amekuwa mpumbavu!
 
Back
Top Bottom