Mkuu ni Britain.πππ Usibadili mada. Vodafone ndo mmiliki. Nyinyi mli gundua jinaππππ€£πWabongo katika ubora wao, wivu na majungu kama kawa. Ingependeza zaidi kama mngetuambia kwamba M-Pesa chimbuko lake ni Tanzania.
Kati yangu na wewe nani anaonekana kama mwenye hata hakustep kwenye mlango wa darasa?? Differentiating "R" and "L" ni nzito kwako.Sio tuna lead. Sisi ni wachawi?? Mpesa imefail nchi nyingi ila imekubali EA. Hata Nigeria imefeli. UK wanatumia mfumo wa credit card sehemu zao zote za manunuzi. Hiyo nikwa nchi zote za ulaya. Huo umeshakuwa utamaduni wao.[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo shule haikukusaidia kufikili nje ya box[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tetesi limekuwa tangu zamani kwamba hata hawakumpa chochote. Sina uhakika kama ni kweli ila inasemekana aliwa'approach' Safaricom yeye mwenyewe ila wakampuuzilia mbali alafu miezi kadhaa baadaye Safaricom wakazindua M-Pesa. Ngoja ntafanya risechi, kuna wakati mmoja zamani kidogo niliona kwamba kuna kesi ilikuwa imewasilishwa mahakamani Kenya dhidi ya Safaricom. Sijui kuliendaje hizo habari zikazamia kusikojulikana.Itakuwa hela mbuzi kwasababu hakujua itakuwa kubwa kiasi gani?
Source Wikipediaπππππ Monku atabi kuwa MonkuππππKuku kavishwa kilemba leo. Kuna watu leo watashinda njaa humuππππMnabishana nini na facts zote zipo?
In 2002, researchers at Gamos and the Commonwealth Telecommunications Organisation, funded by Department for International Development UK (DFID), documented that in Uganda, Botswana and Ghana, people were spontaneously using airtime as a proxy for money transfer.[6] Kenyans were transferring airtime to their relatives or friends who were then using it or reselling it. Gamos researchers approached MCel[7] in Mozambique, and in 2004 MCel introduced the first authorised airtime credit swapping β a precursor step towards M-Pesa.[8] The idea was discussed by the Commission for Africa[9] and DFID introduced the researchers to Vodafone who had been discussing supporting microfinance and back office banking with Mobile phones. S Batchelor (Gamos) and N Hughes (Vodafone CSR) discussed how a system of money transfer could be created in Kenya. DFID amended the terms of reference for its grant to Vodafone, and piloting began in 2005. A student from Moi University in Kenya came up with a mobile software that could allow people to send, receive, and withdraw money from their mobile devices. Safaricom however convinced the student and bought the rights of ownership of this project hence becoming the sole owners of the patent rights. In April 2007, following a student software development project from Kenya,[10] Safaricom launched a new mobile phone-based payment and money transfer service, known as M-Pesa.[4]
The initial work of developing the product was given to a product and technology development company[11] known as Sagentia. Development and second line support responsibilities were transferred to IBM in September 2009, where most of the original Sagentia team transferred to.
Following a 3-year migration project to a new technology stack, as of 26 February 2017, IBM's responsibilities have been transferred to Huawei in all markets.
M-Pesa - Wikipedia
Kafanye research jobless. Ukimaliza leta mrejeshoπππTetesi limekuwa tangu zamani kwamba hata hawakumpa chochote. Sina uhakika kama ni kweli ila inasemekana aliwa'approach' Safaricom yeye mwenyewe ila wakampuuzilia mbali alafu miezi kadhaa baadaye Safaricom wakazindua M-Pesa. Ngoja ntafanya risechi, kuna wakati mmoja zamani kidogo niliona kwamba kuna kesi ilikuwa imewasilishwa mahakamani Kenya dhidi ya Safaricom. Sijui kuliendaje hizo habari zikazamia kusikojulikana.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kati yangu na wewe nani anaonekana kama mwenye hata hakustep kwenye mlango wa darasa?? Differentiating "R" and "L" ni nzito kwako.
Hizi Kunya huwa ziko na matatizo sana. Wazee wa thumb up. Uhuru aki launch kiti utasikia Africa, Africa. Utafikili yeye ni rahisi wa Africa. Yakwake Kenya yamemshinda yupo anaongelea Africa. Hizi kunya leo tumezitoa stopper kwenye malinda lazima ziharishe sana humuπππHahahaha...jamaa kwa kudandia ya watu hawajambo, yananikumbusha ya Mount Kili, eti uko Kenya tu..?!
Ndorobo sana hawa manyang'au..
Umenikumbusha project yangu moja ya mwaka 2008. Ila nona jamaa wameanza kuitumia kidogo kidogo.Yep kupitia software development project ambayo ilikuwa bado ipo kwenye masuala ya airtime na sio hela. Safaricom walimhadaa huyo jamaa na wakanunua software yake sijui kwa hela ngapi. I hope hata hapa Jf tunao wale ambao watabuni vitu kama hivyo, iwe mkenya, mtz, mganda sio ishu. Bora tu ije kuwa kwa manufaa ya sisi waafrika.
From Wikipedia right?Mnabishana nini na facts zote zipo?
In 2002, researchers at Gamos and the Commonwealth Telecommunications Organisation, funded by Department for International Development UK (DFID), documented that in Uganda, Botswana and Ghana, people were spontaneously using airtime as a proxy for money transfer.[6] Kenyans were transferring airtime to their relatives or friends who were then using it or reselling it. Gamos researchers approached MCel[7] in Mozambique, and in 2004 MCel introduced the first authorised airtime credit swapping β a precursor step towards M-Pesa.[8] The idea was discussed by the Commission for Africa[9] and DFID introduced the researchers to Vodafone who had been discussing supporting microfinance and back office banking with Mobile phones. S Batchelor (Gamos) and N Hughes (Vodafone CSR) discussed how a system of money transfer could be created in Kenya. DFID amended the terms of reference for its grant to Vodafone, and piloting began in 2005. A student from Moi University in Kenya came up with a mobile software that could allow people to send, receive, and withdraw money from their mobile devices. Safaricom however convinced the student and bought the rights of ownership of this project hence becoming the sole owners of the patent rights. In April 2007, following a student software development project from Kenya,[10] Safaricom launched a new mobile phone-based payment and money transfer service, known as M-Pesa.[4]
The initial work of developing the product was given to a product and technology development company[11] known as Sagentia. Development and second line support responsibilities were transferred to IBM in September 2009, where most of the original Sagentia team transferred to.
Following a 3-year migration project to a new technology stack, as of 26 February 2017, IBM's responsibilities have been transferred to Huawei in all markets.
M-Pesa - Wikipedia
Message sent. Hujui kuwa mobile money ime fail kwenye nchi nyingi za Africa alafu unaongelea UKππππHivi mzungu mjinga kuona opportunity akaiyacha?? You are just a product of a burst condom from a failed abortion.Kati yangu na wewe nani anaonekana kama mwenye hata hakustep kwenye mlango wa darasa?? Differentiating "R" and "L" ni nzito kwako.
Jipe moyo joblessπππUmenikumbusha project yangu moja ya mwaka 2008. Ila nona jamaa wameanza kuitumia kidogo kidogo.
Achana na mpumbavu ajiulize kama kila mtu angekuwa na bank account Africa? M-Pesa ingekuwa success?Sio tuna lead. Sisi ni wachawi?? Mpesa imefail nchi nyingi ila imekubali EA. Hata Nigeria imefeli. UK wanatumia mfumo wa credit card sehemu zao zote za manunuzi. Hiyo nikwa nchi zote za ulaya. Huo umeshakuwa utamaduni wao.πππTatizo shule haikukusaidia kufikili nje ya boxππππ
Wapi, Kenya? Ukiona kitu kama hicho na una ushahidi usisite kufika mahakamani jombaa, usije ukajuta baadaye.Umenikumbusha project yangu moja ya mwaka 2008. Ila nona jamaa wameanza kuitumia kidogo kidogo.
https://www.standardmedia.co.ke/article/2000104088/kenyan-did-not-invent-famed-m-pesaWhat matters? Source or FACTS? Bring your source with facts.
hapa hapa bongo mkuu, nimeachana nayo, itakuwa ngumu sana kuprove kokote. kwani niliokuwa nawasiliana nao either wameacha kazi, wamehama nchi, na baadhi ya kampuni zimebadili majina zaidi ya mara mbili.Wapi, Kenya? Ukiona kitu kama hicho na una ushahidi usisite kufika mahakamani jombaa, usije ukajuta baadaye.
ni kweli mkuu, mimi ni mkulima, na ninayo haki ya kupost hapa JF, au sisi wakulima haturuhusiwi kufanya hivyo?Jipe moyo joblessπππ
Tanzania leads the world in sorcery manze at 92% na bado utawapata ni waislamu na wakristo yani unafiki wa hali ya juu.If M pesa was invented by Britons then why don't they use it UK? Why is it popular in Kenya more than any other nation? Did those whites lack an English word so they settled for the swahili word? This jealousy is the reason mnalead kwa uchawi dunia nzima View attachment 923150
Kuna mahali nimekwambia Mkenya ndio amegundua M-Pesa? Hio Wikipedia unayoidharau ungesoma vizuri hamna sehemu wanasema Mkenya ndio kagundua M-Pesa. Mara ya kwanza nimeona Neno M-Pesa ilikuwa kwenye Bango UK nikashangaa kwa sababu ya neno PESA limeingia vipi? Bango lilikuwa Vodafone M-Pesa. Kwahio najua siku nyingi sana kuwa M-Pesa waliigundua UK.