Richard Quest : Mpesa never invented by a Kenyan. πŸ˜…πŸ˜… The truth revealed

Tupatie evidence ya yeye kupewa pesa. Companies dont do things in the shadow. Au yeye ni kaka yako???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Stop trashing someone's brilliant invention. Mark Zukerberg came all the way from the U.S to Kenya, just to see how M-Pesa came to be.
Sikieni hii ........y nyingine. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kenya mko na shida kwa kichwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni Melissaaa kweli?πŸ˜€
Aliibuka na Mamba Kinko hiyo jana tu. Hahaha! [emoji1] Ukideal na watu humu uwe unajua baadhi yao wana matatizo ya ubongo na low self esteem kupindukia. Wana maprofile mengi hadi wameyajaza kwenye vijikaratasi vya A4 ili wasije wakajiumbua. Wanadhani wanatupumbaza, tuko ngangari buana. [emoji23]
 
Stop trashing someone's brilliant invention. Mark Zukerberg came all the way from the U.S to Kenya, just to see how M-Pesa came to be.
Sasa alikutana na nani wa kumpa lecture ya Mpesa wakati hata jina hajulikani?
 
At least Kenyans wanaweza dhani kwamba they can come up with something great and lie the world about it ila sisi Watanzania tunajidharau mnoo na hatuamiaminiani hata kidogo kwamba we do something good.
 
Lol. Ati a Tanzanian tribal word for money.
Tembea nani.

'Besa' is not a Tanzanian word. It is a Bantu word.
Even here in Kenya, Bantu speaking tribes like Kikuyu call it exactly that.
 
Ngangari kwakusems Mimi MelisaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lol. Ati a Tanzanian tribal word for money.
Tembea nani.

'Besa' is not a Tanzanian word. It is a Bantu word.
Even here in Kenya, Bantu speaking tribes like Kikuyu call it exactly that.
Bingwa wa memes unalipi jipya πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…