Richard Quest : Mpesa never invented by a Kenyan. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… The truth revealed

Richard Quest : Mpesa never invented by a Kenyan. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… The truth revealed

hapa hapa bongo mkuu, nimeachana nayo, itakuwa ngumu sana kuprove kokote. kwani niliokuwa nawasiliana nao either wameacha kazi, wamehama nchi, na baadhi ya kampuni zimebadili majina zaidi ya mara mbili.
Kwa comment yako mtu akiisoma unaonekana ni muhongo kupindukia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mala wameame nchi, mala wame badili majina ya kampuni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Dont fool us.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sikia mimi nimesha shilikiana na watu kuuza software kwenye makampuni ya simu hasa hizi za bidhaa. Kinachopatikana makubaliano yakiwa sawa huwa ni 60/40% Hakuna utapeli. Cha muhimu niwewe kufungua kampuni nakuwa na office kwenye nchi husika pia kukubaliana kwenye makato ya tax.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ Msitulishe matango humu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
hapa hapa bongo mkuu, nimeachana nayo, itakuwa ngumu sana kuprove kokote. kwani niliokuwa nawasiliana nao either wameacha kazi, wamehama nchi, na baadhi ya kampuni zimebadili majina zaidi ya mara mbili.
Hilo halijalishi bana. Kuna wakati mwingine makelele mengi mbwembwe na vitisho huwa zinawalazimu watu kama hao wakubali kuketi chini na kujadiliana ili wasichafuliwe jina. Hahaha! ๐Ÿ˜€ Kuna njia nyingi sana za kuua panya.
 
Hilo halijalishi bana. Kuna wakati mwingine makelele mengi mbwembwe na vitisho huwa zinawalazimu watu kama hao wakubali kuketi chini na kujadiliana ili wasichafuliwe jina. Hahaha! ๐Ÿ˜€ Kuna njia nyingi sana za kuua panya.
ngoja nijaribu. haitakuwa kazi rahisi.
 
ni kweli mkuu, mimi ni mkulima, na ninayo haki ya kupost hapa JF, au sisi wakulima haturuhusiwi kufanya hivyo?
Unatulisha matango. Hivi kwafikila zenu mnazani kila mtu humu ndani ni bwege. My friend we travel almost every month. Huo uwongo unaosema humu niupumbavu wako. Usiseme eti umetapeliwa idea yako. It is a big lie. Sema tu kila mtu huwa na idea in different form. Ukiwa na idea alafu huna mtaji(pesa) ya kusecure hiyo idea huwezi huza ukafanikiwa. Nilazima uwe na lawyer, kampuni ambayo imekuwa registered pamoja na office. On top of that unafanya lobbing. All that it means you need to have money. Angalau kama 15 million minimum. Kwa sababu kwenye telecom utakuwa nauwakika wakupata minimum ya 70 million ikiwa na makato ya kodi. Hiyo mnaigawana kwa ratio ya 60/40% . Kutokana na makubaliano. Kama ulienda na umasikini wako hacha uliwe. Hata ukienda mahakamani kwanzs utafungwa wewe. Anae lipwa sio mtu bali ni kampuni. Hata copy right yenyewe ulikuwa hujaipata cause hukuwa na kampuni. Idea huwa ni pesa. Ndo maana wenye idea huenda kwa matajiri kwanza, ili wawezi kui secure kabla hajaiyuza.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tanzania leads the world in sorcery manze at 92% na bado utawapata ni waislamu na wakristo yani unafiki wa hali ya juu.
Yesu mwenyewe ni mzimu. Sema tu mzungu alituachia Yesu mzimu usio kuwa na nguvu akachukua mizimu yetu yenye nguvu. Nenda China au India uwone wanaabudi nini.? Tembelea nchi za Asia uwone wanacho abudu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nakupatia list za nchi zisizo abudu au kwenda kanisani na msikitini
 
Kuna mahali nimekwambia Mkenya ndio amegundua M-Pesa? Hio Wikipedia unayoidharau ungesoma vizuri hamna sehemu wanasema Mkenya ndio kagundua M-Pesa. Mara ya kwanza nimeona Neno M-Pesa ilikuwa kwenye Bango UK nikashangaa kwa sababu ya neno PESA limeingia vipi? Bango lilikuwa Vodafone M-Pesa. Kwahio najua siku nyingi sana kuwa M-Pesa waliigundua UK.
Hiyo habari ya software kugunduliwa na wanafunzi wa Eldoret si kweli! Mahakama ya Kenya ilitupilia mbali kesi!
 
Yesu mwenyewe ni mzimu. Sema tu mzungu alituachia Yesu mzimu usio kuwa na nguvu akachukua mizimu yetu yenye nguvu. Nenda China au India uwone wanaabudi nini.? Tembelea nchi za Asia uwone wanacho abudu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nakupatia list za nchi zisizo abudu au kwenda kanisani na msikitini
Yenu ni ya ujinga kama ule wa maji maji rebellion alafu nyie hamna msimamo...wachawai usiku mchana ni wakristo ama waislamu.
 
Its called living in denial. Umeshindwa na hutaki kukubali. Then If at all UK invented Mpesa. Of all countries in Africa why could they choose kenya?
*We don't have the population,We didn't have the best mobile company in Africa and the economy couldn't even support the project by then.
Their only bets could have been S.A or Nigeria.
The M Pesa was invented developed and in Kenya. Safaricom and Vodafone only popularized it.
If M pesa was invented by Britons then why don't they use it UK? Why is it popular in Kenya more than any other nation? Did those whites lack an English word so they settled for the swahili word? This jealousy is the reason mnalead kwa uchawi dunia nzima View attachment 923150

Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo habari ya software kugunduliwa na wanafunzi wa Eldoret si kweli! Mahakama ya Kenya ilitupilia mbali kesi!
Hebu dadavua kidogo kuhusu hiyo kesi unayoiongelea. Kwa manufaa ya wengi kwenye jukwaa hili. Iliwasilishwa kwenye mahakama ipi Kenya na ni nani aliiwasilisha na sababu zake zilikuwa zipi? Isiwe eti unapinga maoni ya wenzako ili tu uendeleze chuki na wivu wako dhidi ya Kenya.
 
Hebu dadavua kidogo kuhusu hiyo kesi unayoiongelea. Kwa manufaa ya wengi kwenye hili jukwaa. Iliwasilishwa kwenye mahakama ipi Kenya na ni nani aliiwasilisha na sababu zake zilikuwa zipi? Isiwe eti unapinga tu maoni ya wenzako ili tu uendeleze chuki na wivu wako dhidi ya Kenya.
Hmm! Nyie bishaneni weeeee mkichoka mta-log off, mimi wacha niende kwa wakala nikatoe pesa. M-Pesa raha sana... ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mwanafunzi alibuni 'software' the whole idea ni ya Wazungu baada ya kutembelea nchi za Africa ikiwemo Kenya wakaona watu wakituma vocha vijiji ili waziuze wapate hela(ni rahisi kuliko kutuma hela). Dfid na taasisi nyingine za UK wakaweka hela research ifanyike kushirikiana na VODAFONE.

Hongera kwa kijana wa Moi Uni aliegundua software.
umeshamvuruga.....halafu sio poa ujue. unawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hmm! Nyie bishaneni weeeee mkichoka mta-log off, mimi wacha niende kwa wakala nikatoe pesa. M-Pesa raha sana... ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hahaha! ๐Ÿ˜€ M-Pesa raha kweli ndugu yangu. Acha tubishane na hawa hapa ambao walianza kutumia M-Pesa miaka mingi tu baada yetu ila sasa baada ya kuipenda kupindukia hawataki tena ihusishwe na Kenya hata kidogo. Hizi fiksi zao ni sawa na zile hekaya kwenye vile vibonzo vya kina Madenge.
 
Hiyo habari ya software kugunduliwa na wanafunzi wa Eldoret si kweli! Mahakama ya Kenya ilitupilia mbali kesi!
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Kumbe walishafurushwa mpaka na mahakama yao wenyewe? Sasa nani atawaamini hawa ni vibaka.
 
Hizi Kunya umezimaliza. Kubuni jina nayo ni invasion๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Nashangaa wananishambulia mimi wakati wakenya wenzao wanapingana na hii tabia yao ya ukora mpaka kwenye innovation za watu
 
Shida nini hapa acheni argument za ajabu ajabu kwani kila kitu mpaka kitoke kwa Wazangu huu ujinga tuache kwa wote Tanzania na Kenya. Mpesa imesidiwa watu wengi sana kwa nchi zetu kwa hili Hongera sana aliyefumbua. Tuacheni wivu wa kike
 
Tanzanians are ubiquitous in Kenyan social media, they will tell you Kenyan news that even we Kenyans aren't aware of. They know each and every politician in Kenya ( including many MCA's), they know all the Kenyan bloggers and Churches. They dream Kenya, think Kenya, sleep Kenya and eat Kenya. They know all the Tv and Radio stations with their presenters in Kenya, they know all the projects Kenya is undertaking and the cost of project. They are comfortable searching international articles just to read or watch Kenyan information. They know the lineage of Kenyatta, Odinga and Moi. It's here in JF that I'll wake up at 3am and already finding a Kenyan news posted by Tanzanian. My question, my concentrate on people who doesn't even care about your existence?
 
Back
Top Bottom