Richard Quest on Kenyan SGR๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Richard Quest on Kenyan SGR๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

mental case
1540562720176.png
1540562720176.png
apewe referral mathare hospital huyu
 
Huku Kenya we don't keep track. The only way utaskia kwa vyombo vya habari mtu mashuhuri amefika, ni kama ako katika biashara au kazi yake. Lakini mambo ya utalii, hio ni private and confidential. Hatuna udaku huku.

Sasa, weka list ya hao wageni mashuhuri ambao wamekuja TZ kwa biashara au kazi zao.
Jamaa anaweka watu waliotembelea Tz over 10 years ago.,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jamaa anaweka watu waliotembelea Tz over 10 years ago.,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Fungua thread engineer wa bricks๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Fungua nikuonyeshe kazi leo. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
ETI IPO MBALI SAAAANA YANA JAMAA ATOKE MAREKANI ASHINDWE KWENDA MOMBASA AY NAIROBI KUIFATA HIYO TRENI ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Habari zilizo nifikia na zahuwakika nikuwa Richard Quest alikuwa anataka kufanya kipindi juu ya Kenya SGR najinsi inavyo chochea uchumi wa Kenya. Alipouliza juu ya Kenya SGR aliambiwa iko mbali sana kutokea Nairobi and for security purpose hawezi fika. Mchina aligoma juu ya wazo la Richard kufanya kipindi kidogo juu ya SGR.
Chanzo cha habari pia kimenitaarifu waliamua kumpeleka kwa meter gage ya EAR iliwaweze kuficha haibu ya Kenyan SGR. Kwa sasa kipindi chake kita ongelea zaidi juu ya M-Pesa

My Take.: The government of Kenya is embarassed by the Kenyan SGR aka mtambo wa Changaa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 910696View attachment 910697
Hyo habari umetoa kw ubongo wako vp..manake ni ya kijinga jinga kwel
 
Whats happening? Jf is getting dumber by the day! Yaani kuna watu wanaamini huu upuuzi wa mleta mada? Richard Quest alizuru Railways Museum, kujifunza mengi kuhusu historia ya Nairobi. Yupo Kenya kwasababu ya KQ na safari ya kuenda JFK na sio SGR wala reli au treni yeyote ile.
 
Majamaa wanavyopenda kupewa maujiko na wazungu yaani wameshindwa kumpeleka kuuza sura kwenye sgr kweli hali ni ngumu
 
Back
Top Bottom