Richard Quest on Kenyan SGRπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

The sgr in Kenya belongs to China....
The Kenyan government owns nothing..
 
Jamaa anaweka watu waliotembelea Tz over 10 years ago.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa anaweka watu waliotembelea Tz over 10 years ago.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Fungua thread engineer wa bricksπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Fungua nikuonyeshe kazi leo. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ETI IPO MBALI SAAAANA YANA JAMAA ATOKE MAREKANI ASHINDWE KWENDA MOMBASA AY NAIROBI KUIFATA HIYO TRENI πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hyo habari umetoa kw ubongo wako vp..manake ni ya kijinga jinga kwel
 
Whats happening? Jf is getting dumber by the day! Yaani kuna watu wanaamini huu upuuzi wa mleta mada? Richard Quest alizuru Railways Museum, kujifunza mengi kuhusu historia ya Nairobi. Yupo Kenya kwasababu ya KQ na safari ya kuenda JFK na sio SGR wala reli au treni yeyote ile.
 
Majamaa wanavyopenda kupewa maujiko na wazungu yaani wameshindwa kumpeleka kuuza sura kwenye sgr kweli hali ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…