Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hahahha apiaWhats happening? Jf is getting dumber by the day! Yaani kuna watu wanaamini huu upuuzi wa mleta mada? Richard Quest alizuru Railways Museum, kujifunza mengi kuhusu historia ya Nairobi. Yupo Kenya kwasababu ya KQ na safari ya kuenda JFK na sio SGR wala reli au treni yeyote ile.
Usijidanganye kwamba kila Mkenya unayeongea naye hapa Jf ni Jobless. Just because you have money doesn't mean other people don't have money. Humility is free, get oneMwenye pesa huwa atibiwiπππugonjwa unaogopa pesa. Sawa ma jobless
Kama unanijua mbona unanipa options tatu nichague? Kama unanijua si umwage picha yangu hapa Jf kila mtu aone. Mbona unanipa options tatu? Hio inaonyesha kwamba hunifahamu.Tony Kuria. Pick one of your pics hapa ChiniππππππView attachment 912206View attachment 912207View attachment 912208
Bwana wee hamna mkenya mwenye pesa yupo humu....wa humu ndo wale wale pangu pakavu tia mchuzi , wale mnajiitaga lower middle class teeh.. mmejifungia huko pipeline na kwenye mafulusuti ya kiberaUsijidanganye kwamba kila Mkenya unayeongea naye hapa Jf ni Jobless. Just because you have money doesn't mean other people don't have money. Humility is free, get one
You are crazy psychopath walahiI will recommend you to a better psychologist. Seems the one who is treating you have no idea of what you are suffering from. Your case is special
Ondoa uwongo wako hapa, sindano imekuingia vizuri walahiWhats happening? Jf is getting dumber by the day! Yaani kuna watu wanaamini huu upuuzi wa mleta mada? Richard Quest alizuru Railways Museum, kujifunza mengi kuhusu historia ya Nairobi. Yupo Kenya kwasababu ya KQ na safari ya kuenda JFK na sio SGR wala reli au treni yeyote ile.
should have finished with " and if he was to visit SGR there is nothing to hide " but since you came defensively I'll assume you are hiding something and that Mulisaa is right. Is it that bad?Whats happening? Jf is getting dumber by the day! Yaani kuna watu wanaamini huu upuuzi wa mleta mada? Richard Quest alizuru Railways Museum, kujifunza mengi kuhusu historia ya Nairobi. Yupo Kenya kwasababu ya KQ na safari ya kuenda JFK na sio SGR wala reli au treni yeyote ile.
Whatever you say, kila mtu ana uhuru wa kuamini na pia kusema atakalo. Its a free world.should have finished with " and if he was to visit SGR there is nothing to hide " but since you came defensively I'll assume you are hiding something and that Mulisaa is right. Is it that bad?
Ondoa uwongo wako hapa, sindano imekuingia vizuri walahi
Uzuri nikwamba umejua najua wewe ni nani. Kwa kuwa huwa unamakeke sana i will just let it goπππ ukileta chokochoko nakuanikaπππKama unanijua mbona unanipa options tatu nichague? Kama unanijua si umwage picha yangu hapa Jf kila mtu aone. Mbona unanipa options tatu? Hio inaonyesha kwamba hunifahamu.
Nianike babaa. Mimi si size yako.Hujui mimi ni nani na hutawahi jua. Huwa unajisifia eti wewe ni mtu wa intelligence, eti unaweza tuma bug kwa simu yangu kisha ukaactivate front camera ili unione. Fanya hivyo saa hii, nakungoja.Uzuri nikwamba umejua najua wewe ni nani. Kwa kuwa huwa unamakeke sana i will just let it goπππ ukileta chokochoko nakuanikaπππ