Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukariri na kusimama mbele za watu wala sio kazi ila je unaweza kuwashawishi? Hapo ndipo kaz ilipo.Unaweza sema ni pesa rahisi ila kusimama mbele ya maelfu ya watu na kukariri vifungu vya bibilia sio mchezo
🤣🤣🤣🤣Injili inalipa sana ukiwa na kondoo wa kutosha.
Hebu niambie, ingekuwa hao maelfu ya watu wanaokusanyika mbele za hao watumishi, wanafanikiwa, tungekuwa tunaongelea suala la umasikini kweli?Kwa hiyo mnafurahi nyie mkiwa na maisha mazuri halafu watumishi wa Mungu wawe makabwela?.
Hata Yesu alikuwa na mtunza fedha, means kuna sehemu alikuwa anapokea/kujipatia kipato cha kurahisisha uendeshaji wa huduma yake.
Ukiona mtu anamiliki fedha nyingi, tambua pia kuna magumu mengi amepitia hadi kufikia hatua hiyo.
Fedha mnazohonga malaya au kunywea visungura mnaona sawa na hakuna anayewalaumu juu ya matumizi ya jasho lenu, lakini kutoa sadaka kwa mtu anayekupa neno la faraja mnaona nongwa.
Acheni wivu na makasiriko.
500mil tena US dollars si mchezo ni zaidi ya trln za kitzHizi takwimu za uongo, sijamuona Kakobe, Gwajima, Mwamposa, Musa n.k, hao wote wana mpunga mrefu kuzidi hao wenye utajiri wa 100k, 400k n.k
Umasikini unaondolewa kwa kanuni za kiuchumi sio za kuombewa pekee, fanya kazi kwa bidii unaepuka umasikini na sio sali sana ili kuepuka umasikini.Hebu niambie, ingekuwa hao maelfu ya watu wanaokusanyika mbele za hao watumishi, wanafanikiwa, tungekuwa tunaongelea suala la umasikini kweli?
Angalau kwa ngazi ya kitaifa, ukizingatia hao watumishi wapo miaka na miaka
Huko daresalaam walipojazana kungekuwa na walala hoi kweli?
Kwa hao wanageria ni habari nyingine, kidogo akina Mwingira kwenye zile nafasi za 10M Usd wangekuwepo500mil tena US dollars si mchezo ni zaidi ya trln za kitz
Akina kakobe wana pesa ila kwa hao wanaigeria wanasubiri sana
Hapo sawaKwa hao wanageria ni habari nyingine, kidogo akina Mwingira kwenye zile nafasi za 10M Usd wangekuwepo
Utajiri huo nadhani ni sehemu tu ya assets walizo nazo.Hapo sawa
Maana hizi tenite wanazo force mpka kufikia utajiri wa 500mil usd sio mchezo
Anawaambia wakamuombe Mungu huku yeye anawaomba wao, je yeye anaogopa nini kwenda kumwomba MunguUZURI WA HUU UTAPELI.
ANAYETAPELIWA NDIO MTETEZI WAKO!!!
KWAMBA MAFANIKIO MAKUBWA YA NABII, MTUME, YANATEGEMEANA NA ALIVYO WAGEUZA WAUMINI WAKE KUWA MAZOMBIES.😀
Hapo ulipotumia mfano wa Yesu ndo umekosea, Yesu hakuja kuhubili utajiri au kutafuta Mali Bali kuokoa robo za watuKwa hiyo mnafurahi nyie mkiwa na maisha mazuri halafu watumishi wa Mungu wawe makabwela?.
Hata Yesu alikuwa na mtunza fedha, means kuna sehemu alikuwa anapokea/kujipatia kipato cha kurahisisha uendeshaji wa huduma yake.
Ukiona mtu anamiliki fedha nyingi, tambua pia kuna magumu mengi amepitia hadi kufikia hatua hiyo.
Fedha mnazohonga malaya au kunywea visungura mnaona sawa na hakuna anayewalaumu juu ya matumizi ya jasho lenu, lakini kutoa sadaka kwa mtu anayekupa neno la faraja mnaona nongwa.
Acheni wivu na makasiriko.