Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Achukue hasara .....nitamshangaalini Diamond atachukua artists wa kike..?
Achukue hasara .....nitamshangaa
lini Diamond atachukua artists wa kike..?
Rich Mavoko ni Rais Wa BENDI GANI Mkuu?Wakuu leo ndio imethibitika kuwa rich mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuacha huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na wcb kwenye page yake ya Instagram.
Unataka uende ?lini Diamond atachukua artists wa kike..?
[emoji23][emoji23][emoji23]LICHADI si ungeaga vizuri wenzako? Dunia duara
ili mseme amawatafunalini Diamond atachukua artists wa kike..?