Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Wakuu leo ndio imethibitika kuwa Rich Mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya Mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na WCB kwenye page yake ya Instagram.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na WCB kwenye page yake ya Instagram.