einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
Angalia hili Pimbi!Ni maamuzi yake haina shida...Rich mavoko ndo alikuwa mkristo peke yake, na wale jamaaa wabaguzi wa Dini.
Mbona Rrayvanny alirekodia pochi nene kwa s2kizzyWakuu leo ndio imethibitika kuwa rich mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na wcb kwenye page yake ya Instagram.
Yupo Queen Darlinlini Diamond atachukua artists wa kike..?
Kama yule aliekuwa mkali wa Bongo Movieili mseme amawatafuna
Alivyotusuwa mwanzo ndivyo atakavyotusuwa na sasaWCB walivyo na fitna hawakawii sijui kama mavoko atatusua
Mh nitajie MTU mwenye uwezo wa kuimba kama rich WCBHata hivyo Mavoko Habebeki,wamejitahidi sana kumbeba but jamaa anaonekana mvivu wa kazi,that is why vijana wadogo wenye juhudi wanampiga bao,huku wasiolewa wanasema anabaguliwa......
B dozen amefanyeje?Kama si kiki ya album basi kuondoka kwake WCB kumechangiwa sana na Clouds media hasa B dozen
Kwasababu gani?Wrong move ...damn wrong move Richard.
If true.
Rich alikuwa na nyota gani!!? Amechukuliwa kipindi alichokuwa amepoteza mvuto kabisa na binafsi nilijua hili litatokea maana hata katika interview zake alikuwa anajaribu sana kuonesha kuwa WcB walimuhitaji zaidi ya alivyowahitaji yeye! Kuna namna hapo lkn kiuhalisia kama habari hii ina ukweli ni Rich atakayekuwa amepoteza zaidi.Dimond kishaiba nyota ya mwenzie
Vipi kuhusu Rayvany!!!? Kukurupuka siyo kuzuri.Ni maamuzi yake haina shida...Rich mavoko ndo alikuwa mkristo peke yake, na wale jamaaa wabaguzi wa Dini.
We jamaa punguza uongoRich alikuwa na nyota gani!!? Amechukuliwa kipindi alichokuwa amepoteza mvuto kabisa na binafsi nilijua hili litatokea maana hata katika interview zake alikuwa anajaribu sana kuonesha kuwa WcB walimuhitaji zaidi ya alivyowahitaji yeye! Kuna namna hapo lkn kiuhalisia kama habari hii ina ukweli ni Rich atakayekuwa amepoteza zaidi.
Anaenda potea kabisa... Hata wamchukue Clouds na wampige after evry 5 mins...he is gone.Kwasababu gani?
Sijajua sababu ya ipi ya msingi unayosema!Anaenda potea kabisa... Hata wamchukue Clouds na wampige after evry 5 mins...he is gone.