Richi Mavoko kajitoa rasmi WCB

Richi Mavoko kajitoa rasmi WCB

Hata hivyo Mavoko Habebeki,wamejitahidi sana kumbeba but jamaa anaonekana mvivu wa kazi,that is why vijana wadogo wenye juhudi wanampiga bao,huku wasiolewa wanasema anabaguliwa......
 
Wakuu leo ndio imethibitika kuwa rich mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na wcb kwenye page yake ya Instagram.
Mbona Rrayvanny alirekodia pochi nene kwa s2kizzy
Na diamond akarekord africa queen kwa mtu mwingine tofauti na laizer
 
Hata hivyo Mavoko Habebeki,wamejitahidi sana kumbeba but jamaa anaonekana mvivu wa kazi,that is why vijana wadogo wenye juhudi wanampiga bao,huku wasiolewa wanasema anabaguliwa......
Mh nitajie MTU mwenye uwezo wa kuimba kama rich WCB
hakuna hata mmoja
Ukweli niuonao mm diamond ni mtu anapenda wenzake kila cku wafanye kazi kwa manufaa yake so rich hawezi kumshobokea sababu ni MTU ambae anaona hana alichozidiwa na diamond tofauti Mali feki za watu anazomiliki
 
Dimond kishaiba nyota ya mwenzie
Rich alikuwa na nyota gani!!? Amechukuliwa kipindi alichokuwa amepoteza mvuto kabisa na binafsi nilijua hili litatokea maana hata katika interview zake alikuwa anajaribu sana kuonesha kuwa WcB walimuhitaji zaidi ya alivyowahitaji yeye! Kuna namna hapo lkn kiuhalisia kama habari hii ina ukweli ni Rich atakayekuwa amepoteza zaidi.
 
We jamaa punguza uongo
 
Back
Top Bottom