Kumbuka alurudi kwenye game baada ya kuchukuliwa WCB ...sasa kapotoshwa.Sijajua sababu ya ipi ya msingi unayosema!
Yaani kisa ameondoka wcb?
Ata mkishindwa kuwapa wake zenu mimba msisahau kusema clouds ndo chanzoKama si kiki ya album basi kuondoka kwake WCB kumechangiwa sana na Clouds media hasa B dozen
Kapotoshwa na nani?Kumbuka alurudi kwenye game baada ya kuchukuliwa WCB ...sasa kapotoshwa.
Atapata taabu sana.
Hehehe eti ee?Kajitambua huyo
Na alikibaKapotoshwa na nani?
Kwanini nayeye asiibeDimond kishaiba nyota ya mwenzie
Mali feki ausiooo!??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wabongo kwa wivuu bhnaMh nitajie MTU mwenye uwezo wa kuimba kama rich WCB
hakuna hata mmoja
Ukweli niuonao mm diamond ni mtu anapenda wenzake kila cku wafanye kazi kwa manufaa yake so rich hawezi kumshobokea sababu ni MTU ambae anaona hana alichozidiwa na diamond tofauti Mali feki za watu anazomiliki
Bro Taratibu....Unamfananisha Richard na Diamond tena.... Sio fair BroMh nitajie MTU mwenye uwezo wa kuimba kama rich WCB
hakuna hata mmoja
Ukweli niuonao mm diamond ni mtu anapenda wenzake kila cku wafanye kazi kwa manufaa yake so rich hawezi kumshobokea sababu ni MTU ambae anaona hana alichozidiwa na diamond tofauti Mali feki za watu anazomiliki
Pochi nene ya Rayvan imerekodiwa kwenye studio za Switch chini ya mtayarishaji C2kizzy,Wakuu leo ndio imethibitika kuwa rich mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na wcb kwenye page yake ya Instagram.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]hapo sawa maana alikaa kwenye folen kama vile underground wakat yeye level xa juu
Wakuu leo ndio imethibitika kuwa rich mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na wcb kwenye page yake ya Instagram.
Unataka kwenda...?lini Diamond atachukua artists wa kike..?
Huyo ambaye alikuwa hata akitoa wimbo hafikish views 1.5M? duuh,kubali kataa jamaa kaja kuchangamka zaidi baada ya kutua WCB huo ndo ukweli otherwise na yeye angefata njia za kina DimpozAlikosea sana kujiingiza huko wakati tayari alishajibrand kabla hata ya hao wcb
Rich muziki wake ni mkubwa kupita Diamond...kuwa chini ya Diamond ni kujizalilishaduuuuhh " sababu hasaaa ni ipi ""?