Richi Mavoko kajitoa rasmi WCB

Richi Mavoko kajitoa rasmi WCB

Kwa malezi aliyopitia utotoni ilikuwa ni lazima ashindwe,kaanze maisha mapya kama mwenzako kifesi.Ukiamini yote yanawezekana
 
Mh nitajie MTU mwenye uwezo wa kuimba kama rich WCB
hakuna hata mmoja
Ukweli niuonao mm diamond ni mtu anapenda wenzake kila cku wafanye kazi kwa manufaa yake so rich hawezi kumshobokea sababu ni MTU ambae anaona hana alichozidiwa na diamond tofauti Mali feki za watu anazomiliki
Mali feki ausiooo!??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wabongo kwa wivuu bhna
 
Mh nitajie MTU mwenye uwezo wa kuimba kama rich WCB
hakuna hata mmoja
Ukweli niuonao mm diamond ni mtu anapenda wenzake kila cku wafanye kazi kwa manufaa yake so rich hawezi kumshobokea sababu ni MTU ambae anaona hana alichozidiwa na diamond tofauti Mali feki za watu anazomiliki
Bro Taratibu....Unamfananisha Richard na Diamond tena.... Sio fair Bro
 
Wakuu leo ndio imethibitika kuwa rich mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na wcb kwenye page yake ya Instagram.
Pochi nene ya Rayvan imerekodiwa kwenye studio za Switch chini ya mtayarishaji C2kizzy,

Je Rayvan kajitoa WCB?
 
sijiu kama linaukweli wowote kama wcb wameamua kumwachia jamaa na akaunt ya youtube yenye viewers hadi M 7

Wakuu leo ndio imethibitika kuwa rich mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records.
Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote zinazohusiana na wcb kwenye page yake ya Instagram.
 
Ata mm nnge ondka make uu ni ujinga kila siku watu wale wale afu wewe upo kapuni na na uki angalia madgo wote wame kukuta kwenye game ila now wana kuzidi kila ktu
 
Alikosea sana kujiingiza huko wakati tayari alishajibrand kabla hata ya hao wcb
 
Alikosea sana kujiingiza huko wakati tayari alishajibrand kabla hata ya hao wcb
Huyo ambaye alikuwa hata akitoa wimbo hafikish views 1.5M? duuh,kubali kataa jamaa kaja kuchangamka zaidi baada ya kutua WCB huo ndo ukweli otherwise na yeye angefata njia za kina Dimpoz
 
Back
Top Bottom