Richi Mavoko kajitoa rasmi WCB

Wabongo bwana,siku Rich akiachaia albam akiwa WCB mtapata aibu san.Yaani Mavoco kuachia nyimbo ambayo haijatengenezwa wasafi ndo kujitoa,na wimbo wenyewe sio official release mnaongeeeeea.Na haters wa WCB naona mmepata kwa kutolea stress zenu.
 
Hapana...napingana na wewe kwa hili...na kama umetumwa kwamba what Richi is doing is just a mind teaser...then they shouldn't have thought of it ...

WCB is now BIG...
 
Wewe pingana kivyako mkuu,mimi hayo ni mawazo yangu.
 
Sawa...

Lakini kubali kusahihishwa.

Uwezo wako wa kufikiri ni Mkubwa. Si sawa na kina .....!!? .... U know them.

Them not deserving ....
 
WCB ni wabinafsi wamejitengenezea uadui na media nyingine ambazo ni platform nzuri kwa wasanii kuutangaza mziki wao.
Bora alivyojitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…