ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
At last he recover his reasons
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo bwana,siku Rich akiachaia albam akiwa WCB mtapata aibu san.Yaani Mavoco kuachia nyimbo ambayo haijatengenezwa wasafi ndo kujitoa,na wimbo wenyewe sio official release mnaongeeeeea.Na haters wa WCB naona mmepata kwa kutolea stress zenu.
Wewe pingana kivyako mkuu,mimi hayo ni mawazo yangu.Hapana...napingana na wewe kwa hili...na kama umetumwa kwamba what Richi is doing is just a mind teaser...then they shouldn't have thought of it ...
WCB is now BIG...
Sawa...Wewe pingana kivyako mkuu,mimi hayo ni mawazo yangu.
saaana ",tatizo hkushituka mapema""Rich muziki wake ni mkubwa kupita Diamond...kuwa chini ya Diamond ni kujizalilisha
hahhaaaSawa...
Lakini kubali kusahihishwa.
Uwezo wako wa kufikiri ni Mkubwa. Si sawa na kina .....!!? .... U know them.
Them not deserving ....
[emoji23][emoji23][emoji23]dahRich msanii wa kawaida mno kama bob haisa tu
Clouds FM watamsapoti mbonaKama ni kweli atapotea katika mpoteo usiomithirika, jeuri zao kwa CLOUDS na EATV ataanzia wapi kusimama mwenyewe
Huyo ni mlugulu mkuu, walugulu ni wavivu balaa, jamaa ana kipaji ila uvivu ndiyo shida.Hata hivyo Mavoko Habebeki,wamejitahidi sana kumbeba but jamaa anaonekana mvivu wa kazi,that is why vijana wadogo wenye juhudi wanampiga bao,huku wasiolewa wanasema anabaguliwa......
Hamna kitu hichoNi maamuzi yake haina shida...Rich mavoko ndo alikuwa mkristo peke yake, na wale jamaaa wabaguzi wa Dini.
Nilimuona juzi kati airport si mchezooAisee wewe hamnazo sasa Sarah kuwa mweupe mbeee kunahisika na nini na Mavoko kujitoa freemason?
Kwahio unatamani ungekua sarahIla yule manzi wa harmonize sarah yupo vizuri mweupe peepeee...
Nilitamani nikamlee...Kwahio unatamani ungekua sarah
AnhaaaaaaaaNilitamani nikamlee...
kesho dadalini Diamond atachukua artists wa kike..?