Richi Mavoko kajitoa rasmi WCB

Richi Mavoko kajitoa rasmi WCB

Rich nae atakuwa na shida, ikumbukwe kuwa Meneja Wake wa zamani Papaa Misifa hawakuachana vizur, Kabla ya kuingia WCB alikuwa anahaha na menejment yake mpaka akaanza kuonekana tapeli. Hatakama unakipaji na sauti nzuri usilazimishe kutoboa haraka haraka eti kwa kuwa fulani katoboa tunatofautiana mikondo ya pesa na bahati.; Mathalani, ukimtazama Harmonize dogo anabahati na mkondo wa pesa.
 
Back
Top Bottom