Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu Lichadi analeta utani, ZIMA by Nash EmceeLICHADI si ungeaga vizuri wenzako? Dunia duara
Aisee wewe hamnazo sasa Sarah kuwa mweupe mbeee kunahisika na nini na Mavoko kujitoa freemason?Ila yule manzi wa harmonize sarah yupo vizuri mweupe peepeee...
ni rais wa bluebandRich Mavoko ni Rais Wa BENDI GANI Mkuu?
duu mdomo hauna break...ina maana Rayvany si mkristo? wewe ndio mbaguzi wa diniNi maamuzi yake haina shida...Rich mavoko ndo alikuwa mkristo peke yake, na wale jamaaa wabaguzi wa Dini.
Huwa anatembea nayo mkuuSawa nilijua ni Rais wa Bendi kama ni Waziri mwambie asimamie vizuri ilani ya Uchaguzi wa chama chao.
Hao wote shida yao ni Diamond na si MavokoKama ni kweli atapotea katika mpoteo usiomithirika, jeuri zao kwa CLOUDS na EATV ataanzia wapi kusimama mwenyewe
lini Diamond atachukua artists wa kike..?