Tetesi: Richi Mitindo na Jackline Wopler wameachana

Tetesi: Richi Mitindo na Jackline Wopler wameachana

Na sherehe zote zile walofanya
Kama kweli atulie tu alee wanae amwache aende,mwanaume kuwa na mahusiano na mwanaume mwenzie sio ishu ya kuvumilia!
Halafu hawa wanaume wanamitindo karibu wote au niseme wote mbona kama ni wanaume hasara tu? Wengi wao wanasemwa sana kwenye haya mambo ya kupumuliwa kisogoni!!! Aibu sana. Pole sana kwa dada yetu kipenzi mpambanaji. Mungu amemjaliwa watoto wake wawili wazuri sana wa kike na kiume apambane awalee tu.
 
Hivi ignore ya jf ni kimeo au? mbona bado naona waja laana nilio ignore? Thread inanuka nnya! Ptuuu.
 
Mbona amemruhusu kuchepuka ilimradi kwa mwanamke wa faida?!

Sasa imekuwaje tena waachane jamani?!
 
Jack aliongea vizuri juzi kati akasema anajua mumewe ni kijana damu inachemka hivyo huenda swala la kutochepuka kwake ni inevitable,

Angalizo: kuwa kijana sio kwamba ukichepuka utaeleweka.

Bakini njia kuu.

Basi akasema yeye mumewe akichepuka kwa mchepuko wa faida atamuelewa tu na sio mchepuko hasara.

Kuna point muhimu hapa.
 
Unachepuka kwa hasara maana yake Mwanaume unapoteza rasilimali (fedha na muda) n.k. Za familia,
Unakuwa mtawanyishaji rasilimali badala ya kukusanya.
 
Fikiria mke usikie mumeo anachepuka na mwanamke anayefanya kazi UN huko kama Boss au senior officer na huku mumeo ni jobless au anakipato cha kawaida utajisikiaje Kwa mfano?

Au mumeo anachepuka na mwanamke anafanya kazi bank Kuu au mfanyabiashara mkubwa utajisiaje?

Wakati huo mumeo ni jobless au anakipato cha wastani tu.
 
Unachepuka na mwanamke mwenye nyota ya kupe [emoji39]

Nyonya nyonya damu.

Kila wakati anakuletea mahitaji ya hela ,

Mara bibi anaumwa sana kumbe bibi alishakufaga miaka ya zamani sana,

Mara misiba kumbe watu walishakufaga na Mwanaume huwezi kwenda kuhakikisha kama ni kweli au la ,
 
Huu umbeya nimemkumbuka marehemu Warumi hapa angetupa habari za ndani kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom