Richie: Bongo Movie Kuna mashoga

Richie: Bongo Movie Kuna mashoga

Watajweeeeeeee....warumi where are uu..njoo tulidiscuss hili swala
 
Watajweeeeeeee....warumi where are uu..njoo tulidiscuss hili swala

Si aseme tu steve nyerere ,japokuwa wapo wengi , tatizo Richie ana chuki binafs hakupenda Steve alivyopata uongoz so anatafuta choko choko tu , ila habar kamil ndo hyo
 
wala asiache kaz hata wanasiasa wako tena wale maarufu kabisa! labda aseme ameichoka hyo unity
 
wala asiacha kaz hata wanasiasa wako tena wale maarufu kabisa! labda aseme ameichoka hyo unity

Labda anawaonea wivu wenzie , maana yeye kashazeeka soko hana , na waheshimiwa wanatak ngoz Lain kama za akina hemedy na ray
 
Ukweli ni kwamba,Ray na Hemed PHD ndio wanafanya hayo mambo hapa bongo muvi
 
Ukweli ni kwamba,Ray na Hemed PHD ndio wanafanya hayo mambo hapa bongo muvi

hivi ray na utu uzima wake huo anambong'olea mwanaume mwenzie,
wonders shall never end loh!af kashazeeka lakn cjaskia hata mke wala mtoto,au wamem.... loh ngoja ninyamaze
 
Kuna sura ukiziangalia Bongo movies zina utata sana.

Kuna yule jamaa Anaitwa Tino ama Hisan Muya kma sijakosea mcchizi anajichubua balaa licha ya kuwa na body ya nondo but msela ana element za kilofa kujichubua chubua na kuchonga nyusi kama shilole vile!
 
Mi la ushoga silijui ila nimekuwa nikisikia kuwa Kina dada wa bongo movie wanajihusisha sana nå usagaji ( sina hakika kama ni kweli)
 
Back
Top Bottom