Richmond kutikisa Bunge

Richmond kutikisa Bunge

Senzota,

Asante kwa maoni yako. Vuta subira hoja hii iingie bungeni. Kwa sasa bado sijawasilisha hoja na maelezo ya hoja. Nilichowasilisha ni taarifa ya hoja tu. Lakini ukitaka kufahamu msimamo wangu kuhusu suala hili unaweza ukarejea tu makala yangu ambayo niliiandika mwaka 2009; miaka kadhaa iliyopita kuhusu suala hili. Nakushauri, uisome mwanzo mpaka mwisho halafu urudi tena kuchangia kama bado maoni yako yatakuwa ni haya haya: JOHN MNYIKA: Richmond, Dowans and Operesheni Safisha Mafisadi

JJ

mi nilidhani utapeleka hoja binafsi kuhusu matatizo ye2 ya maji UBUNGO,unang'ang'ania richmond,2015 itakupasa u2ambie umelifanyia nini jimbo le2.
 
Hiyo Miradi ya maji pesa yake itapatikana vp kama haupigi vita ufisadi?!! Ubungo ipo Tz na issue ya Richmond ni ya Tz sio Kenya wala Uganda!!
 
mi nilidhani utapeleka hoja binafsi kuhusu matatizo ye2 ya maji UBUNGO,unang'ang'ania richmond,2015 itakupasa u2ambie umelifanyia nini jimbo le2.

Asante kwa maoni. Hoja Binafsi ya masuala ya maji Ubungo nilishapeleka, nafasi ya kuwasilisha haikutolewa lakini nilipenyeza hoja husika kwa njia nyingine na hatua zikaanza kuchukuliwa. Na naendelea kufuatilia masuala ya maji kama ambavyo nafuatilia pia mambo mengine niliyotumwa na wananchi wa Ubungo. Hili la Richmond nalo ni la jimbo la Ubungo, mitambo yenyewe ilikuwa pale Ubungo kampuni iliyorithi ya Dowans mitambo yake iko Ubungo ambayo ndiyo sasa iko chini ya Symbions. Aidha, matatizo ya umeme kuanzia gharama mpaka upatikanaji wake yanawahusu pia wananchi wa Ubungo. Kabla ya kuja bungeni nilikuwa na mkutano na wananchi kwenye mitaa mbalimbali ya kata ya Kwembe yote niliyokwenda mpaka mtaa wa King'azi wananchi wameeleza kuhusu kero ya umeme na kutaka kwenye hoja hii ya richmond niweke mkazo kuhakikisha masuala hayo yanashughulikiwa. Wewe uko kata gani?

Nashukuru kwa majibu yako mazuri...mi npo kata ya Kwembe na ni kweli umeme nao ni shida..natumaini 2tasukuma gurudumu la ubungo vzr na kuweza kutatua kero za wananchi!
 
Ninaimani nawe Mnyika tumechoshwa ubabaishaji wa viongozi wa CCM, ni matapeli wezi na walafi pambana mkuu naamini Mungu huweka mkono penye dhamira njema.
 
Asante kwa maoni. Hoja Binafsi ya masuala ya maji Ubungo nilishapeleka, nafasi ya kuwasilisha haikutolewa lakini nilipenyeza hoja husika kwa njia nyingine na hatua zikaanza kuchukuliwa. Na naendelea kufuatilia masuala ya maji kama ambavyo nafuatilia pia mambo mengine niliyotumwa na wananchi wa Ubungo. Hili la Richmond nalo ni la jimbo la Ubungo, mitambo yenyewe ilikuwa pale Ubungo kampuni iliyorithi ya Dowans mitambo yake iko Ubungo ambayo ndiyo sasa iko chini ya Symbions. Aidha, matatizo ya umeme kuanzia gharama mpaka upatikanaji wake yanawahusu pia wananchi wa Ubungo. Kabla ya kuja bungeni nilikuwa na mkutano na wananchi kwenye mitaa mbalimbali ya kata ya Kwembe yote niliyokwenda mpaka mtaa wa King'azi wananchi wameeleza kuhusu kero ya umeme na kutaka kwenye hoja hii ya richmond niweke mkazo kuhakikisha masuala hayo yanashughulikiwa. Wewe uko kata gani?

JJ

safi san jj hivi ndio wananchi wa kizazi cha leo watumiao kompyuta wanataka sio mazee hata kutumia computer hawawezi kama alivyosema leo serukamba bungeni

mimi nina uhakija jj hujatumwa na mafisadi hizi ni propaganda kama vile zile za kuwa ulipewa mlungula na keenja umwachie jimbo before. kuhusu el kujisafisha ni ngumu mno mwakyembe yupo smart anajua alichofanya na ndio maana wakati bunge lilipovunjwa hakuukubali uwaziri sababu alitaka aimalizie kazi ya riport maana ndio ilikuwa tu imesomwa kwa ajili ya kuweka hansard vizuri. na sasa kapona na juzi jana na leo alikuwepo ofisini hope atakuwepo bungeni siku hii hoja yako jj itakaporudishwa na el ajaribu kujisafisha
 
mi nilidhani utapeleka hoja binafsi kuhusu matatizo ye2 ya maji UBUNGO,unang'ang'ania richmond,2015 itakupasa u2ambie umelifanyia nini jimbo le2.

kwa hiyo unataka uniambie kupanda gharama za umeme haiwahusu watu wa ubungo au fikra mgando..?uwezo wa kufikiri umeishia kwenye maji tu..kwanza shukuru kwa wiki mnapata mara mbili mi nipo njiro huku arusha(masaki ya arusha) kwa mwezi yanatoka mara moja tu.. kama huna matanki utajiju..
 
John Mnyika, vipi, toka mlipopewa juisi ikulu, mmeacha kususasusa?

unazidi kuidhalilisha jinsia ya kike kwa kauli maiti kama hizi..hivi we una ubongo wa kichina nini..?
 
Mujuni, hilo ndio dodoki la uhakika na maji ni JIK iliyochanganywa na parazon. Baada ya hapo EL atang'ara kama theluji, mchana atamulika kama jua na usiku atangaa kama mwezi huku akimeremeta kama nyota!.

Lakini vipi kuhusu hali ya afya yake,maana tusingependa kuwa na mgombea urais mgonjwa kwa sababu who knows bwana mungu anaweza akamtazama kwa jicho la huruma na kumpa huo urais unaomtesa..
 
John Mnyika, vipi, toka mlipopewa juisi ikulu, mmeacha kususasusa?

Tukiachana na "ulevi" wa juice ya ikulu na mimi napigilia msumari hapohapo,bwana john mnyika vipi kuhusu zile posho za kukaa kitako pale mjengoni na kukunja laki tatu kila siku bado unaendelea kuchukua au sasa umeelewa na kuungana na mpiganaji zitto kabwe kususia posho hizo na kuachana na genge la wapenda posho chini ya alhaj juma nkamia na wenzake?
 
Suala la Richmond kurudi bungeni, naliona kwa mtazamo tofauti kidogo.

Kwanza imelenga kumsafisha EL, Kwasababu zipo tetesi kuwa toka awali mama Makinda aliposhawishiwa na kundi la EL kugombea uspika, nia ilikuwa ni kumpata mtu atakayeirudisha Richmond bungeni ili sitta , mwakiyembe na kundi lao waonekane walichemsha ktk kulitia taifa hasara, kuleta migogoro isiyoisha ndani ya chama na serikali n.k.

Pili nachelea kusema kuwa Mnyika katumwa!!, ama kwakujua au kwakutokujua. nitaeleza.

Ikiwa katumwa akiwa anajua. Hii huenda ni dhamira ya chama chake (chadema). Kuwa, kimemtuma apeleke hoja hiyo ya Richmond bungeni ili EL asafishwe ili chadema ijihakikishie ushindi 2015 endapo ccm itampitisha El, kwakuwa wamekuwa wakiamini kuwa nguvu ya El kwa Umama ni ndogo ukilinganisha na nguvu ya cdm.

Pia upo uwezekano wa mnyika kutumwa bila ya yeye (mnyika) kujijua kwamba katumwa. El ni mtu anayefanya siasa za kiwango cha juu sana, ana mtandao mpana sana vijana kwa wazee, ndani ya chama chake na ndani ya vyama vya ushindani (upinzani), hivyo ni rahisi hoja hii ya Richmond kufikishwa kwa mnyika kupitia kwa marafiki zake (mnyika) au hata yeye mwenyewe kwa namna moja au nyingine bila Mnyika kulitambua hilo.

Naamini hoja hii ya Richmond kurudishwa bungeni, haikosi mkono wa mafisadi. Naamini hoja hii ilifikishwa kwa Mnyika bila ya yeye kujua, akidhani hoja imeletwa na wazalendo wenzake. Lakini yote kheri coz it is just a political strategy for both political party!!.
Na mnyika ndio atakua anajinyonga kisiasa hapa,ndio maana kila wakati mimi huwa namuona zitto kabwe miongoni mwa hawa vijana ni kijana mwenye maarifa ya hali ya juu sana katika kufanya siasa,zitto ni mtu wa principle na huwa hana rafiki wa moja kwa moja,ndio maana mafisadi wanashindwa kumtwisha hoja kama hizi,wanajua hawezi kukubali hasa ndani ya bunge,anaweza kuwasaidia pengine tena kwa wakati fulani tu then kila mtu ashike hamsini zake,huwa hataki kujuana zaidi.
 
John Mnyika, vipi, toka mlipopewa juisi ikulu, mmeacha kususasusa?

FF, hoja chovu kama hii siyo size yako. Wewe ni mtu mwelewa unapaswa kumbana JJ kwa mambo ya msingi atoe majibu, siyo kuchangia kichovu namna hii.
 
Mimi binafsi naamini na nitaendelea kuamini kuwa Lowassa si mhusika mkuu wa sakata la Richmond! Naamini na nitaendelea kuamini kuwa JK ndiye aliyepaswa kuwajibishwa katika hili sakata. Naombeni msinijibu, je Sitta na Mwakyembe hawakuwa na chuki binafsi na Lowassa kuhusu uwaziri mkuu?

kwani lowassa aliwajibishwa na nani?na jk,sitta au kamati ya mwakyembe?naomba unijibu wewe mwenyewe maana una kawaida ya kuingia mitini.
 
Mh Mnyika pamoja na yasemwayo lakini siamini kua hiyo hoja ikiibuliwa bungeni EL atapona kwan hata kwenye vikao vyao alikiri mwenyew na kumhusisha pia mkuu wa site. sasa kwa sababu linagusa maslah ya watanzania wengi na tumechoka sana, moja kwa moja huwez kutumwa na mafisadi kupeleka hoja kama hiyo kwa lengo la kuwasafisha kwan hoja yenyewe ina uchafu mwing so haiwez kumsafisha m2
 
Na mnyika ndio atakua anajinyonga kisiasa hapa,ndio maana kila wakati mimi huwa namuona zitto kabwe miongoni mwa hawa vijana ni kijana mwenye maarifa ya hali ya juu sana katika kufanya siasa,zitto ni mtu wa principle na huwa hana rafiki wa moja kwa moja,ndio maana mafisadi wanashindwa kumtwisha hoja kama hizi,wanajua hawezi kukubali hasa ndani ya bunge,anaweza kuwasaidia pengine tena kwa wakati fulani tu then kila mtu ashike hamsini zake,huwa hataki kujuana zaidi.

Anyway hutamuelewa mnyika sababu hutaki kusoma au huelewi alichokieleza..richmond inatutesa hadi sasa..ilimalizwa kisiasa..wacha irudi hatuogopi kivuli cha mtu..hata kama watu watajisafisha na wengine watachafuka..hii si nchi ya watu fulani..hayo ni maarifa ya kipekee ya JJ..
 
Japo umeomba usijibiwe ila utanisamehe kwa kukujibu manake najua wajua mengi ila ya 6 na Uwaziri Mkuu asiyejua kuwa 6 baada ya kukosa UPM aliomba apewe magari ya msafara na ulinzi kama wa PM na kujengewa ofisi kwao ya Spika nani asiyejua kuwa
EL alimtaka azunguke ktk Nchi zote za Common wealth na kama atakuta Spika mwenye mahitaji kama hayo anayoyataka 6 basi Serikali ingemtimizia haja yake baada ya kuona hayo kimbembe ndo kikaanza hapo kati ya hao wa2! Haya mambo bana tuache tu!

Nikuombe radhi kwa kukujibu MNYANYIZI hisia wakati mwingine ni tatizo

Wewe na huyo jamaa yako mnachanganya mambo,ngoja niwaulize mambo madogo nyie vijana,hivi baada ya rais kupatikana pamoja na wabunge kupatikana ni nani anaanza kupatikana kati ya waziri mkuu na spika wa bunge?je samuel sitta alitaka akalie kiti cha uspika na uwaziri mkuu at the same time?is it possible kwa akili ya kawaida tu?mbona mnajiita great thinker lakini kufikiri kwenyewe hamtaki?

Sitta angekua ana nia na uwaziri mkuu asingepoteza muda wake kulipia milioni moja ya fomu pale ccm makao makuu kwa ajili ya kugombea uspika,angemuacha mzee msekwa apambane na wengine waliojitokeza.Msikubali propaganda hii ya kitoto inayopikwa na lowassa baada ya kujiuzulu uwaziri kwa "hiari" yake.
 
Mh Mnyika pamoja na yasemwayo lakini siamini kua hiyo hoja ikiibuliwa bungeni EL atapona kwan hata kwenye vikao vyao alikiri mwenyew na kumhusisha pia mkuu wa site. sasa kwa sababu linagusa maslah ya watanzania wengi na tumechoka sana, moja kwa moja huwez kutumwa na mafisadi kupeleka hoja kama hiyo kwa lengo la kuwasafisha kwan hoja yenyewe ina uchafu mwing so haiwez kumsafisha m2
sana sana itatufanya tuwajue zaidi wachafu wenzake lowassa akiwemo jk kama kweli anahusika husika,lakini bahati mbaya sana lowassa ataendelea kuwa mhanga kwa kuwa matarajio yake ya kisiasa yatayeyuka wakati jk hana tena cha kupoteza kwa kuwa kama kiti cha urais atakuwa keshakikalia na unenyekiti wa ccm pia keshaukalia,lowassa ndio mwenye ndoto na viti hivyo,itakua imekula kwake,utoto wa mjini ndio raha yake hapo,si unajua monduli mbali sana na dar!
 
Wewe na huyo jamaa yako mnachanganya mambo,ngoja niwaulize mambo madogo nyie vijana,hivi baada ya rais kupatikana pamoja na wabunge kupatikana ni nani anaanza kupatikana kati ya waziri mkuu na spika wa bunge?je samuel sitta alitaka akalie kiti cha uspika na uwaziri mkuu at the same time?is it possible kwa akili ya kawaida tu?mbona mnajiita great thinker lakini kufikiri kwenyewe hamtaki?

Sitta angekua ana nia na uwaziri mkuu asingepoteza muda wake kulipia milioni moja ya fomu pale ccm makao makuu kwa ajili ya kugombea uspika,angemuacha mzee msekwa apambane na wengine waliojitokeza.Msikubali propaganda hii ya kitoto inayopikwa na lowassa baada ya kujiuzulu uwaziri kwa "hiari" yake.
Uvivu wa kusoma historia!
 
kwani lowassa aliwajibishwa na nani?na jk,sitta au kamati ya mwakyembe?naomba unijibu wewe mwenyewe maana una kawaida ya kuingia mitini.
Aliwajibika kutokana na nafasi yake kisiasa ambayo kitaalam huwa tunaita political responsibility. Una lingine?
 
Back
Top Bottom