Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Hapa nazikumbuka bil 967 zilizohamia vote 20 isiyo hojiwa
Soma
Soma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nazikumbuka bil 967 zilizohamia vote 20 isiyo hojiwaView attachment 1017814View attachment 1017818
Hii kubwa lao sasa! niliwahi kuandika humu serikali hii ni fisadi ilijificha kwenye kichaka cha uzalendo na vitisho, na ipo siku isiyo na jina hawa wanaoitwa wanyonge watajua unafiki wa magufuri. Wacha mie nisubiri "baba lao SGR" hapo ndipo upigaji umevunja rekodiHapa nazikumbuka bil 967 zilizohamia vote 20 isiyo hojiwaView attachment 1017814View attachment 1017818
Hesabu huwa haidanganyi na ufahamu fika hesabu sio maneno ile nI namba tusubiri siku moja tutakumbushanaWakati mwingine hatuhitaji kujua mchakato wa upataji fedha za kuendeshea miradi kwa sababu Magu anajenga taifa, hajinufaishi yeye mwenyewe. Ninachohisi ni kuwa fedha hizo zimeenda kwenye ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege pamoja na miradi inayoendelea. Mwisho wa siku tutaona reli, barabara, ndege na stiglar george dam vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia. Ukiniuliza mm mwananchi wa kawaida jinsi gani mchakato wa kupata hela umepitia sihitaji hilo. Ila nyinyi ambao michakato inawafaidisha hamtaacha kuuliza hasa pale ambapo pesa haitapitia bungeni kuna watakaokosa posho na ndio watakaopiga kelele.
Kama Rais ni mzalendo anataka kujenga nchi atumie tu tuone matunda michakato baadae
Naona ubongo wako si wa kawaida una funza,atumie hela bila kukaguliwa eti kisa miradi,hao waliomtangulia mbona walikuwa wanafuata Sheria na taratibu zote za matumizi ya fedha. Na kwanini asiwe muwazi kama ana nia njema,anafichaficha nini?Wakati mwingine hatuhitaji kujua mchakato wa upataji fedha za kuendeshea miradi kwa sababu Magu anajenga taifa, hajinufaishi yeye mwenyewe. Ninachohisi ni kuwa fedha hizo zimeenda kwenye ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege pamoja na miradi inayoendelea. Mwisho wa siku tutaona reli, barabara, ndege na stiglar george dam vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia. Ukiniuliza mm mwananchi wa kawaida jinsi gani mchakato wa kupata hela umepitia sihitaji hilo. Ila nyinyi ambao michakato inawafaidisha hamtaacha kuuliza hasa pale ambapo pesa haitapitia bungeni kuna watakaokosa posho na ndio watakaopiga kelele.
Kama Rais ni mzalendo anataka kujenga nchi atumie tu tuone matunda michakato baadae
Labda Ulaya ya Mpanda Katavi kule Kavuu kwa Pinda.Tanzania itakuwa kama ulaya soon
Wameumbuka!!Astaghafillulah !
Nchi huendeshwa kwa kufuata taratibu sio maamuzi ya mtu mmoja. Huwezi kuchukua pesa za umma hovyo eti nanunua ndege msiniulize! Au najenga reli nk, kwani hizo hela za mjomba wako?Wakati mwingine hatuhitaji kujua mchakato wa upataji fedha za kuendeshea miradi kwa sababu Magu anajenga taifa, hajinufaishi yeye mwenyewe. Ninachohisi ni kuwa fedha hizo zimeenda kwenye ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege pamoja na miradi inayoendelea. Mwisho wa siku tutaona reli, barabara, ndege na stiglar george dam vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia. Ukiniuliza mm mwananchi wa kawaida jinsi gani mchakato wa kupata hela umepitia sihitaji hilo. Ila nyinyi ambao michakato inawafaidisha hamtaacha kuuliza hasa pale ambapo pesa haitapitia bungeni kuna watakaokosa posho na ndio watakaopiga kelele.
Kama Rais ni mzalendo anataka kujenga nchi atumie tu tuone matunda michakato baadae
Uwazi na Uwajibikaji ndio nguzo kuu za utawala BoraWakati mwingine hatuhitaji kujua mchakato wa upataji fedha za kuendeshea miradi kwa sababu Magu anajenga taifa, hajinufaishi yeye mwenyewe. Ninachohisi ni kuwa fedha hizo zimeenda kwenye ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege pamoja na miradi inayoendelea. Mwisho wa siku tutaona reli, barabara, ndege na stiglar george dam vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia. Ukiniuliza mm mwananchi wa kawaida jinsi gani mchakato wa kupata hela umepitia sihitaji hilo. Ila nyinyi ambao michakato inawafaidisha hamtaacha kuuliza hasa pale ambapo pesa haitapitia bungeni kuna watakaokosa posho na ndio watakaopiga kelele.
Kama Rais ni mzalendo anataka kujenga nchi atumie tu tuone matunda michakato baadae
Mimi alipomteua tu Dotto James kuwa paymaster general na Kisha akaondoa bunge live nikajua tu awamu hii tutapigwa kwelikweli...mtu anakuwa trilionea huyuHii kubwa lao sasa! niliwahi kuandika humu serikali hii ni fisadi ilijificha kwenye kichaka cha uzalendo na vitisho, na ipo siku isiyo na jina hawa wanaoitwa wanyonge watajua unafiki wa magufuri. Wacha mie nisubiri "baba lao SGR" hapo ndipo upigaji umevunja rekodi
Wakati mwingine hatuhitaji kujua mchakato wa upataji fedha za kuendeshea miradi kwa sababu Magu anajenga taifa, hajinufaishi yeye mwenyewe. Ninachohisi ni kuwa fedha hizo zimeenda kwenye ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege pamoja na miradi inayoendelea. Mwisho wa siku tutaona reli, barabara, ndege na stiglar george dam vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia. Ukiniuliza mm mwananchi wa kawaida jinsi gani mchakato wa kupata hela umepitia sihitaji hilo. Ila nyinyi ambao michakato inawafaidisha hamtaacha kuuliza hasa pale ambapo pesa haitapitia bungeni kuna watakaokosa posho na ndio watakaopiga kelele.
Kama Rais ni mzalendo anataka kujenga nchi atumie tu tuone matunda michakato baadae
Leo unaona Uncle Magu anajenga kesho nitakuja mimi kwakutumia mbinu hihi nitazihamishia akaunti za nje ya nchi ndio siku utajua umuhimu wa kufuata taratibu. Bunadamu hatuaminiki sanaWakati mwingine hatuhitaji kujua mchakato wa upataji fedha za kuendeshea miradi kwa sababu Magu anajenga taifa, hajinufaishi yeye mwenyewe. Ninachohisi ni kuwa fedha hizo zimeenda kwenye ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege pamoja na miradi inayoendelea. Mwisho wa siku tutaona reli, barabara, ndege na stiglar george dam vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia. Ukiniuliza mm mwananchi wa kawaida jinsi gani mchakato wa kupata hela umepitia sihitaji hilo. Ila nyinyi ambao michakato inawafaidisha hamtaacha kuuliza hasa pale ambapo pesa haitapitia bungeni kuna watakaokosa posho na ndio watakaopiga kelele.
Kama Rais ni mzalendo anataka kujenga nchi atumie tu tuone matunda michakato baadae
Unahis ...endelea kuhisWakati mwingine hatuhitaji kujua mchakato wa upataji fedha za kuendeshea miradi kwa sababu Magu anajenga taifa, hajinufaishi yeye mwenyewe. Ninachohisi ni kuwa fedha hizo zimeenda kwenye ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege pamoja na miradi inayoendelea. Mwisho wa siku tutaona reli, barabara, ndege na stiglar george dam vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia. Ukiniuliza mm mwananchi wa kawaida jinsi gani mchakato wa kupata hela umepitia sihitaji hilo. Ila nyinyi ambao michakato inawafaidisha hamtaacha kuuliza hasa pale ambapo pesa haitapitia bungeni kuna watakaokosa posho na ndio watakaopiga kelele.
Kama Rais ni mzalendo anataka kujenga nchi atumie tu tuone matunda michakato baadae