Richmond ya Korosho ishapigwa, gazeti la East Africa ladai kampuni ilinunua Korosho ni hewa, Bei kushuka Kuna wakubwa wanawala wakulima

Mradi wowote unaofanywa bila ukaguzi ni wizi mtupu. Kama kuna pesa inayotaka kutumiwa na mumiani uwazi utafichwa ila ukiona uwazi katika matumizi yoyote basi hicho ni kifo cha mumiani(ufisadi).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweri utabaki Kuwa hii nchi ni ya wapiga dili milele hata milele. Na hata kama mmoja wetu humu ndani akiwa raisi mambo hivi hivi. Siwezi nikaanza na taifa wakati bado sijajijengea mizizi katika familia yangu. Na unaambiwa mpaka hivi sasa riziwani Kikwete ni tajiri wa kwanza kutoka mkoani pwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania ni kweli matajiri;
but wa akili za kijinga siyo mali;

Ni walewaleeee!
Hiyo miradi yooote ni kizunguzungu tu na kufaidisha makampuni mama ya wazungu nje, laiti ingekuwa ni teknorojia yetu,weusi ningefurahi sana. au hata angenunua hizo ndege S/Africa, au Nigeria, Equatorial guinea ningempa big up. Watanzani walivo mazuzu wanashangiliaaa ndege na blinded cheers nyiiingi ,ambapo kamwe hawatakaa wafaidike wao?.

Naamini Daktari binafsi bila familia wa kawaida wa serikali anaeishi Dar, tuseme mfano Temeke hosp, hawezi tumia mshahara wake km nauri ya ndege. kwenda na kurudi (Musoma - Dar,! ) hata kwenda tuu! hautoshi na atatesa familia, labda ale rushwa sana, Narudia ale rushwa sana, hao ni wenye mishahara ya serikali, je wewe mleta mada si ndo kabisa.

Unanunua Ndege kwa mkoloni? sijui treni la umeme, adui yako? lazima tena anakupa kibovu, sababu hakupendi japo! yatamfia kabla ya kuondoka! richa ya hapo yeye mzungu akale wapi? ili akukule vizuri utakuwa mtumwa wa kununua vipuri na mafuta mpaka Yesu arudi.
African huna akili japo ya kutengeneza vipuri kutokana na matrekta machakavu,

Bora angekula sambamba na wavumbuzi wa machines za viwandani kwa njia zetu weusi wenyewe, wapo vijana wanafanya kazi nzuri sana, km mgari wetu ule wa Nyumbu,Ndege tena za mianzi. Bwire manyonyi aligundua namna ya kulifumua trekta na kulisuka upya kwa kuweka vyuma vya Dhahabu ndani ili lidumu miaka mingi. alihitaji msaada kidogo tu , but imezimwa. kingine Miundo mbinu iliyopo uiboreshe tu, pia Wafugaji, na wakulima mashambani, hayo tunayamudu.

Drop iririgation ni wazo la mtanzania huyuhuyu bwana Bwire manyonyi, lkn wazungu ndo wanamiliki hii teknolojia. viongozi wa Bongo walijichekesha chekesha tu wakimpongeza kinafiki, bila msaada akaigawa kwa Israel kwa $ kibao mpaka leo, na harudi huyo tena.
 
Acha ujinga ndugu miradi yote hiyo ni mikopo na ndio maana unasikia deni la taifa linapaa na mlipaji ni mimi na wewe na vizazi vyetu.
Izo pesa zinaingia mifuko binafsi na labda ndio zinajenga chato, wake up brother.
 
Kwa style hii ya uchotaji wa Pesa, Je zile atakazozitia mfukoni kwake nani atazijua?..

Mzalendo ni yule anaefanya mambo kwa uwazi kwa kufata sheria sio vyenginevyo..

Huyu ni Raisi atakae maliza muda wake akiwa tajiri Sana..,

Mungu ibariki TZ
 

We ni punguwani hivi ndo ulichojifunza darasa la msingi ebu acha ujinga utakua umetumwa sio bure hivi unajua umeandika nn au uko bar au una mgawo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…