Richmond yajenga kituo cha michezo Dar, JK kukizindua

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC, kampuni ya symbion ilinunua mitambo hii ya kampuni ya Richmond, hii sinema inanichanganya!
 
Kampuni iliyotakatisha mitambo ya kampuni feki ya Richmond
 
Kuna mambo yatabaki ni siri za Taifa, si kila kitu utakijua, kuna ubaya na uzuri wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…