chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Oct 2, 2015 #1 Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC, kampuni ya symbion ilinunua mitambo hii ya kampuni ya Richmond, hii sinema inanichanganya!
Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC, kampuni ya symbion ilinunua mitambo hii ya kampuni ya Richmond, hii sinema inanichanganya!
C cencer09 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,554 Reaction score 2,732 Oct 2, 2015 #2 Kampuni iliyotakatisha mitambo ya kampuni feki ya Richmond
G gogo la shamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 6,669 Reaction score 2,165 Oct 2, 2015 #3 Watajificha lakini wataonekana kadri upepo unavyozidi kama alivyosema Lembeli
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,552 Reaction score 24,166 Oct 2, 2015 #4 Mwache akazindue tu, Yee ndie mmiliki.
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Oct 2, 2015 #5 Siasa za kijinga za kibongo. Marekani sio wajinga, Obama asingekuja kuzindua mitambo feki
S suplex city JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 433 Reaction score 117 Oct 2, 2015 #6 Tukisema richmond ni ya kikwete mnanuna?
Rweye JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,057 Reaction score 7,611 Oct 4, 2015 #7 Kuna mambo yatabaki ni siri za Taifa, si kila kitu utakijua, kuna ubaya na uzuri wake...