Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Achana na huyo Dark Lord, msomeNiseme tu huyu jamaa nimeanza kumfahamu leo kupitia mitandao ya kijamii haswa tiktok. Inasemwa ni mtu fashion. Ila ana ushetani mwingi. Kula wanaume wenzie na mambo mengine ya hovyo. Kuanzia ahsubuhi hii anatrend kule tiktok.
Mwonekano wake anaonekana kama mtu mkatili. Kuanzia kuvaa, na sura. Inasemekana sio mtu wa kuonekana hadhari. Ni mmarekani ameoa huko Paris. Kifupi anauchafu mwingi kuliko P diddy
View attachment 3117782View attachment 3117783
Naona uzee tu ujanani kwake alikua pisi kaliNiseme tu huyu jamaa nimeanza kumfahamu leo kupitia mitandao ya kijamii haswa tiktok. Inasemwa ni mtu fashion. Ila ana ushetani mwingi. Kula wanaume wenzie na mambo mengine ya hovyo. Kuanzia ahsubuhi hii anatrend kule tiktok.