Rick Owens The Dark Master

Rick Owens The Dark Master

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Niseme tu huyu jamaa nimeanza kumfahamu leo kupitia mitandao ya kijamii haswa tiktok. Inasemwa ni mtu fashion. Ila ana ushetani mwingi. Kula wanaume wenzie na mambo mengine ya hovyo. Kuanzia ahsubuhi hii anatrend kule tiktok.

Mwonekano wake anaonekana kama mtu mkatili. Kuanzia kuvaa, na sura. Inasemekana sio mtu wa kuonekana hadhari. Ni mmarekani ameoa huko Paris. Kifupi anauchafu mwingi kuliko P diddy​

Rick-Owens-Is-Still-Out-There-GQ-Oct-101118-02.jpg
images.jpeg
 
Niseme tu huyu jamaa nimeanza kumfahamu leo kupitia mitandao ya kijamii haswa tiktok. Inasemwa ni mtu fashion. Ila ana ushetani mwingi. Kula wanaume wenzie na mambo mengine ya hovyo. Kuanzia ahsubuhi hii anatrend kule tiktok.

Mwonekano wake anaonekana kama mtu mkatili. Kuanzia kuvaa, na sura. Inasemekana sio mtu wa kuonekana hadhari. Ni mmarekani ameoa huko Paris. Kifupi anauchafu mwingi kuliko P diddy​

View attachment 3117782View attachment 3117783
Achana na huyo Dark Lord, msome
Michèle Lamy. Utaon mapana, huyo ni dark Lord gatekeeper wa Fashioon, mkewe ndio Priest wa hayo madude.

Note: Kila industry ina Gate keeper wake. Anyway nisikuharibie interest ya kutafuta zaidi nenda search utaona connection ya High Priest of Paris na hao wahuni kina Didy, Usher,Drake n wanasiasa wengine.
 
Niseme tu huyu jamaa nimeanza kumfahamu leo kupitia mitandao ya kijamii haswa tiktok. Inasemwa ni mtu fashion. Ila ana ushetani mwingi. Kula wanaume wenzie na mambo mengine ya hovyo. Kuanzia ahsubuhi hii anatrend kule tiktok.

Mwonekano wake anaonekana kama mtu mkatili. Kuanzia kuvaa, na sura. Inasemekana sio mtu wa kuonekana hadhari. Ni mmarekani ameoa huko Paris. Kifupi anauchafu mwingi kuliko P diddy​

View attachment 3117782View attachment 3117783
Naona uzee tu ujanani kwake alikua pisi kali
 
Back
Top Bottom