Rick Ross ampost Diamond

Rick Ross ampost Diamond

Nadhani Simba anaweza akatumia Belaire kama njia, hashindwi huyu kiumbe
 
Mbona ni kawaida sana mtu yoyote ukinunua hiyo wine unachofanya unapiga picha na hicho kinywaji na kufanya kutag kwenye page ya hicho kinywaji Rick anafanya kukupost
b2c59f4cac516d2248b4207e8dd566dd.jpg
<br /><br />-Ndumilakuwili-

-Ndumilakuwili-
 
Mbona ni kawaida sana mtu yoyote ukinunua hiyo wine unachofanya unapiga picha na hicho kinywaji na kufanya kutag kwenye page ya hicho kinywaji Rick anafanya kukupost
b2c59f4cac516d2248b4207e8dd566dd.jpg
<br /><br />-Ndumilakuwili-

-Ndumilakuwili-
Piga na wewe akupost
 
Diamond kawa balozi wa hiyo Balaire sparkling wine ambayo rickross ana share Zake humo
 
Naonaga Khaligrap Jones wa Kenya anajifotoa sana na hiyo wine, hata kwenye video zake. Si nikadhani ni yake[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ali Kiba ashapostiwa na R. Kelly sema hapendi show off tu.
 
aisee kupostiwa na rick mnataka tusilale? tulishavuka boda tangu instagram bongo hadith piga kaz na Robert Kelly tukatulia...so nothing new to us.
 
Back
Top Bottom